Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
no umekosea chogo ndo kicheko panjuan n mtu mwingine kicheko au chogo mwemywe huyo hapaAtakuwa ni yule chogo ndo Ana act hivyo
Habari zenu wakuu!
Naombeni kuuliza hivi huyu Dr. panjuan wa Efm ni nani na je ni muhindi kweli au anaact tu maana nikimsikiliza simuelewagi.
n mtu tofautiMaulid kitenge
Atakuwa ni yule chogo ndo Ana act hivyo
Sawa kumbe jamaa ni mbongo tu nilidhani ni muhindi kweli, watu wana vipaji vyao aisee.![]()
alievaa kofia ndo.dk panjuan pemben ya oscar
Hapana mkuu, Chogo sio kicheko. Ni watu wawili tofauti.no umekosea chogo ndo kicheko panjuan n mtu mwingine kicheko au chogo mwemywe huyo hapa![]()
SioAtakuwa ni yule chogo ndo Ana act hivyo
Chogo si kichekono umekosea chogo ndo kicheko panjuan n mtu mwingine kicheko au chogo mwemywe huyo hapa![]()
mbona namckiaga kwny genge ambapo anatagazaga kicheko pekee yake kwny kutafsiri nyimboChogo si kicheko
Huyo kwenye genge ni kicheko....!mbona namckiaga kwny genge ambapo anatagazaga kicheko pekee yake kwny kutafsiri nyimbo
sasa mie hisia zng n kuwa kicheko anagizaga pia km chogo ambaye anakuwepo kwny joto la asubuhi anatoa bakoraHuyo kwenye genge ni kicheko....!