Kumbukumbu ya miaka 103 ya Mwalimu Julius Nyerere
View: https://m.youtube.com/watch?v=OAQFxrJBfPc
Makamu wa Rais Dk. Philiph Mpango ameyaongea haya katika kumbukumbu ya miaka 103 ya Mwalimu Nyerere leo Aprili 13, 2025, katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, JKCC Dodoma....
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mzee Joseph Butiku, amehusianisha falsafa ya R4 ya Rais Samia Suluhu Hassan na falsafa za Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akisema zinalenga kuimarisha usawa, heshima, haki na demokrasia.
Mzee Butiku ameongeza kuwa Rais Samia anatakiwa kupongezwa kwa kazi kubwa aliyoifanya tangu akiwa Makamu wa Rais na ndani ya miaka minne ya uongozi wake akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mzee Butiku amesema hayo leo Aprili 13, 2025 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete mkoani Dodoma ilipofanyika kumbukizi ya miaka 103 ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...