Dr. Reginald Mengi na Mr. Patrick Ngowi waitoa kimasomaso Tanzania

Dr. Reginald Mengi na Mr. Patrick Ngowi waitoa kimasomaso Tanzania

idoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
3,051
Reaction score
1,416
Kama mnavyojua jana usiku palikuwa na hafla ya kukabidhi tuzo kwa wafanyabiashara waliotukuka EA pale Nairobi. Bwana Mengi amejinyakulia tuzo mbili (EA Business Leader Award & Lifetime Achievement) wakati kijana anayechipukia kwenye biashara, Patrick Ngowi, amenyakua tuzo ya EA Young Business Leader. Manoj Shanker amenyakua tuzo ya EA Entrepreneur of the Year. Tuzo hizo zinajulikana kama aabla2014. na zimeratibiwa na CNBC Africa.
source: https://mobile.twitter.com/regmengi?p=s
http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=72437
 
Kama mnavyojua jana usiku palikuwa na hafla ya kukabidhi tuzo kwa wafanyabiashara waliotukuka EA pale Nairobi. Bwana Mengi amejinyakulia tuzo mbili (EA Business Leader Award & Lifetime Achievement) wakati kijana anayechipukia kwenye biashara, Patrick Ngowi, amenyakua tuzo ya EA Young Business Leader. Tuzo hizo zinajulikana kama AABLA na zimeratibiwa na CNBC Africa.

source: https://mobile.twitter.com/regmengi?p=s
Kila la Kheri Mzee Mengi na Kijana Mwenzetu Patrick Ngowi(Though sikufaham as navyomsikia Mzee wa Kimachame)
 
Atwambie HELA ZA KAMPUNI YA NICOL yeye na mchaga mwenzie walizipeleka wapi~mosha,
 
Lazima tukubaliane kuwa wrote waliopewa tuzo hizo walistahili, anaebisha huyo ana wivu wa kurithi hatuna haja ya kumpotezea, KIUKWELI HONGERA SANA MR. MENGI NA MR NGOWI.
 
Dr. Reginald Mengi
Patrick Ngowi...hongereni sana kwa kutuwakilisha vyema.

mengi alikuwa head to head na wakenya watatu, ngowi head to head na mkenya mmoja na mganda mmoja. game ilikuwa tight.

cc Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom