idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,051
- 1,416
Kama mnavyojua jana usiku palikuwa na hafla ya kukabidhi tuzo kwa wafanyabiashara waliotukuka EA pale Nairobi. Bwana Mengi amejinyakulia tuzo mbili (EA Business Leader Award & Lifetime Achievement) wakati kijana anayechipukia kwenye biashara, Patrick Ngowi, amenyakua tuzo ya EA Young Business Leader. Manoj Shanker amenyakua tuzo ya EA Entrepreneur of the Year. Tuzo hizo zinajulikana kama aabla2014. na zimeratibiwa na CNBC Africa.
source: https://mobile.twitter.com/regmengi?p=s
http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=72437
source: https://mobile.twitter.com/regmengi?p=s
http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=72437