Dr. Reginald Mengi na Mr. Patrick Ngowi waitoa kimasomaso Tanzania

Wachaga ndo wanawekeza katika stable inveatiment.register your company.biashara za udalali wa magari mjini zina faida ila azina kipimo.

hawauzi juisi na chapati. hahahaaa! wapi Prof. Muhongo??
cc MSALANI na wenzako
 
Last edited by a moderator:
Duuu mwenyewe nimeshangaa kweli kweli yaan utafikir tuzo za kikabila kumbe za kimataifa,,

kama vile wachina walivyo uso wa asia kwa biashara ndivyo wachagga walivyo kwa tanzania
 
Wachaga ndo wanawekeza katika stable inveatiment.register your company.biashara za udalali wa magari mjini zina faida ila azina kipimo.

Hao ndio mlikuwa mkiwalinganisha na wakinga mmmh
 
Hongereni sana,ni wachaga hao nafikiri,na yule ------ mwenye lakeoil hawaku muona?nauliza tu jamani
 
Wanastahiri na niwatz, ukabila ndio unaodumaza fikra za watu walio na mawazo mgando.
Tuwapongeze tujitathmini....
 
Wakenya walivyo na roho mbaya acha wachukie?mhhh,haya jamani hongereni sana
 
Hongera zao.....
 

Attachments

  • 1411299976247.jpg
    57.2 KB · Views: 346
  • 1411299998246.jpg
    65.6 KB · Views: 367
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…