Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
nimepata shida sana kukuelewa mkuu..Unapendanga tu mabeef wewe.
Kutag watu ili waje mgombane nao.
Mimi niko hapa kwenye job yangu, wewe unanitag eti "njoo uone". Nije nione nini?
FYI, asili 1/4 ya familia yangu iko Tanzania, na Tanzania ikiendelea, mimi hufurahi. Unafikiri mi hukasirika?
Hii mentality yako uwache, manze. Ni ya utoi, na ya ujinga sana.