Dr. Reuben Savai; Mwanasiasa mwenye shahada sita aliyekufa masikini bila kupata ajira

Dr. Reuben Savai; Mwanasiasa mwenye shahada sita aliyekufa masikini bila kupata ajira

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Msomi na mwanasiasa wa Kenya Dr Reuben Savai, 70, ambaye jaribio lake la kuwania kiti cha urais mwaka 1997 na 2002 lilitibuka amefariki. Mwanawe wa kiume Daniel Lihanda amenukuliwa na Gazeti la Daily Nation nchini Kenya, akithibitisha kifo chake siku ya Jumapili.

-----------
former_presidential_5d47eaffbf629.jpg

Dr Reuben Savai, 70, whose attempts to run for the presidency in 1997 and 2002 were thwarted by the electoral commission, is dead, his son Mr Daniel Lihanda said on Sunday.

Despite securing six degrees and a diploma, the controversial politician still could not secure formal employment in Kenya.

MAKERERE UNIVERSITY

Dr Savai, who holds six degrees from Greece and a diploma from Makerere University in Uganda, was barred from contesting for the top seat by the defunct Electoral Commission of Kenya in the 1997 and 2002 elections.

After failed attempts, the Kenya Republican Reformation Party leader’s effort to secure a formal job also hit a dead end.

Some of his academic credentials include Diploma in Theology, Law degree and two Bachelor of Education degrees, one in Arts and another in Science.

Source: nation.co.ke
 
Tatizo msomi kama huyu halafu mwanasiasa utakuta ni mbishi kuliko maelezo na ndio labda kakosa wa kumuajiri.
Ukimuajiri awe kama mshauri wako kwenye kampuni, badala ya kushauri anapingana na kila uamuzi unaoutoa, siku inapita hamuelewani, nimewahi kufanya kazi kwenye kampuni ambayo mkurugenzi alikua anabishana muda wote na mshauri wake hadi ikabidi amuondolee mbali.
Anyway RIP in peace msomi wetu.
 
Kule kusoma sana siyo tiketi ya kuwa Rais wa nchi, kwani Iddi Amin Dada licha ya kuwa na cheti cha darasa la nne(grade IV, Std four) aliweza kuwa Rais wa Uganda kwa karibu miaka 10 ( one decade)!!
 
Kuna Mganda PhD holder alikosa ajira, aliamua kusoma certificate ya lab technician. Alipata ajira kama assistant lab technician maisha yakasonga.
 
Kule kusoma sana siyo tiketi ya kuwa Rais wa nchi, kwani Iddi Amin Dada licha ya kuwa na cheti cha darasa la nne(grade IV, Std four) aliweza kuwa Rais wa Uganda kwa karibu miaka 10 ( one decade)!!
Hili lilimkera sana Nyerere
 
Kuna Mganda PhD holder alikosa ajira, aliamua kusoma certificate ya lab technician. Alipata ajira kama assistant lab technician maisha yakasonga.

Alikua kilaza huyo, kwani si angekua hata mhadhiri sehemu. Anaishia kutamausha tunaosaka elimu ya juu kwa nguvu zote....
 
Alikua kilaza huyo, kwani si angekua hata mhadhiri sehemu. Anaishia kutamausha tunaosaka elimu ya juu kwa nguvu zote....
Unatuma CV mwisho unachoka unaamua kutafuta kinacholipa bills
 
Ila wananchi wa Kenya wana sura "amazing"
RIP Daktari
 
Some of his academic credentials include Diploma in Theology, Law degree and two Bachelor of Education degrees, one in Arts and another in Science.
He could be a Bishop, a lawyer, a teacher, a doctor..
He chose business .Rest in peace
 
Back
Top Bottom