Salaam wana jamii
Moja kwa moja kwenye mada;
Kwa kawaida sisi wanadamu tumeumbwa na kujaaliwa kuwa na akili na utashi wa kufanya mambo mbali ikiwemo mema na mabaya. Yapo makosa tunayotenda;-
1.
Kwa ujinga
Makosa haya huwa tunayatenda kwa kutokujua ambapo mara baada ya kuelimika huwa tunamtaka msamaha muumba wetu.
2.
Kwa bahati mbaya
Makosa haya huwa tunayatenda kwa kujua lakini wengi wetu wakati tunayafanya huwa ni kwa ajili ya kuridhisha nafsi zetu, ambapo baada ya muda nafsi hutusuta na kumsingizia shetani kuwa ametupitia ambapo pia huwa tunamtaka msamaha muumba wetu.
3.
Kwa makusudi
Makosa haya huwa tunatenda kwa kudhamiria, ima kwa kutaka kuonesha ufahari au kwa ajili ya kutaka kujulikana au kujitapa.
Robert Charles Gallo
Mtaalamu wa mambo ya tiba, mtafiti, mgunduzi na ndie aliyeunda virusi vya Ukimwi. Kisa cha kugundua Virusi vya Ukimwi ilikuwa ni kwa lengo la kupunguza hadi kuondoa kabisa kizazi cha Mmarekani mweusi ndani ya Marekani, lengo ambalo limepelekea vifo vya watu wengi hadi sasa duniani kote na bila kubagua Mmarekani na asiye Mmarekani. Sidhani kama makosa haya ameyatenda kwa
ujinga au
kwa bahati mbaya bali ni
kwa makusudi. Amefanikiwa kwa kiasi kikubwa ila ametusababishia matatizo makubwa sana ulimwenguni kote.
Ametutilia mchanga vitumbua vyetu!
"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"