Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Bado yupo hai aged 81 huko US.
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Yawezekana lakini huyu ndio ametekelezaMbona inasemekana Henry Kissinger ndiyo aliratibu hiyo mission
Dunia ina mengiYawezekana lakini huyu ndio ametekeleza
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Ni kweli. Anaeratibu mpango na anaetekeleza kwa vitendo wote ni sawa. Ila kosa ni la mtendaji.Dunia ina mengi
[emoji23][emoji23][emoji23] amakweli kilakitu kwa kila mda huhitaji uvumilivu/ustahmilivu na busara, sasa braza kaka hujui kwamba hapo juu ndo umeandika pumba!!? Hivi haujui kwamba HIV ukiingiza kwenye mwili wa nyani hapati madhara na anaendelea kula upepo kama kawaida!!!? So you are wrong totally according to different scientific research approaches, by then HIV haijatengenezwa kwa bahati mbaya kama ulivyo dai kwenye bandiko lako hapo juu,,, kaa ukijua kua kuna kitu mh rais wa marekan kipindihicho ndo alikiunga mkono hicho kitu kiliitwa "biological weapon" especially kwa wale watu walioitwa adui wa marekani, lakin sasa matarajio ndo yaliyobadilika mpaka sasa the world is crying all over, we live by under expectations mzee baba hii kitu pia imekua kama sehem ya biashara mpaka sasa mataifa makubwa yanatengeneza pesa ndefu kupitia ARVs so far hawa watu wa mataifa ya magharibi hawajakaa wakawa watu wema by your side, nothing do occurs accidentally, everything you see occurs for a certain purpose..Pumba tupu...kwanza ujue HIV imeanzia marekani kwa mashoga huko vegas miaka ya 80 africa imefka 90's halafu unasema imelenga kupunguza waafrika??
HIV ilitengenezwa kwa bahati mbaya walikuwa wanatengeneza chanjo wakawa wanawafanyia nyani majaribio ile weakened virus ya kwenye chanjo ika'mutate ikawa HIV
N then HIV ilifikaje kwa binadam sasa mkuu!!? Au ndo kusema after mutation huyo nyani aliruhusiwa kufanya mapenzi na binadam??Pumba tupu...kwanza ujue HIV imeanzia marekani kwa mashoga huko vegas miaka ya 80 africa imefka 90's halafu unasema imelenga kupunguza waafrika??
HIV ilitengenezwa kwa bahati mbaya walikuwa wanatengeneza chanjo wakawa wanawafanyia nyani majaribio ile weakened virus ya kwenye chanjo ika'mutate ikawa HIV
N then HIV ilifikaje kwa binadam sasa mkuu!!? Au ndo kusema after mutation huyo nyani aliruhusiwa kufanya mapenzi na binadam??
Tupe more clarifications bna
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] amakweli kilakitu kwa kila mda huhitaji uvumilivu/ustahmilivu na busara, sasa braza kaka hujui kwamba hapo juu ndo umeandika pumba!!? Hivi haujui kwamba HIV ukiingiza kwenye mwili wa nyani hapati madhara na anaendelea kula upepo kama kawaida!!!? So you are wrong totally according to different scientific research approaches, by then HIV haijatengenezwa kwa bahati mbaya kama ulivyo dai kwenye bandiko lako hapo juu,,, kaa ukijua kua kuna kitu mh rais wa marekan kipindihicho ndo alikiunga mkono hicho kitu kiliitwa "biological weapon" especially kwa wale watu walioitwa adui wa marekani, lakin sasa matarajio ndo yaliyobadilika mpaka sasa the world is crying all over, we live by under expectations mzee baba hii kitu pia imekua kama sehem ya biashara mpaka sasa mataifa makubwa yanatengeneza pesa ndefu kupitia ARVs so far hawa watu wa mataifa ya magharibi hawajakaa wakawa watu wema by your side, nothing do occurs accidentally, everything you see occurs for a certain purpose..
Wao hutengeneza tatizo then wanakuja kwenye mbinu ya kulitatua baada ya hapo wanajifanya wamekuja na solution towards a specific problem usishangae ukiambiwa Corona nayo imetengenezwa kwaajil ya ku bomb up the world's population by bigning with china's ppltn
There are various postulations about the true origin of Human Immune virus
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mi skatai huenda kweli nime andika pumba/upupu lkn sasa zipo stori nying kuhusu chimbuko la ukimwi,, sasa unapo jizatiti kutuaminisha kama vile ulikuwepo mda HIV inatengenezwa mi nakushangaa,, its just a sort of both written n narrated stories,,, and nothing doesn't occur for a certain purpose, these people are most intelligent than in a way you think.Kumbuka ilikuwa chanjo nimesahau ugonjwa gani ila nahisi kitu kama small pox..
Walimchanja mtu ndo ikaanza kazi HIV...ikaja kusambazwa kwa mara ya kwanza las vegas na mashoga
mkuu magonjwa unayotolea mfano ni tofauti na HIV,kisukari na magonjwa ya moyo ni magonjwa ya tabia hayasababishwi na virus wala bakteria km HIV,There is no conspiracy; scientists in various fields from molecular biology, immuonology and pharmaceutics are working day and night to solve this puzzle my friend.
Utakuta, jamaa wa NGOs, wa condoms etc hata hawako kwenye close communication ki-hivyo kusema labda wanafanya deal. Ni nature tu ya ugonjwa imekuwa challenging. Miaka ya zamani pia yalishapita magonjwa challenging kama hivyo eg small pox lakini baadaye kukawa na breakthrough.
Possibly in the next 10-15 years kwaweza kuwa na vaccine.
Na dawa ndio hizo, magonjwa kibao hayana cure mbona? Kisukari, heart disease etc?
Story yangu ni official na iko Scientifical kuhusu mutation ya chanjo izo...Sawa mi skatai huenda kweli nime andika pumba/upupu lkn sasa zipo stori nying kuhusu chimbuko la ukimwi,, sasa unapo jizatiti kutuaminisha kama vile ulikuwepo mda HIV inatengenezwa mi nakushangaa,, its just a sort of both written n narrated stories,,, and nothing doesn't occur for a certain purpose, these people are most intelligent than in a way you think.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakin kweli ukiangalia asilimia nyingi tunaokufa na gonjwa hili ni sisi wenye ngozi nyeus.
Kuna uongo mwingi tunao ambiwa kuhusu HIV-Aids mkuu,you are right.You are also right that Aids is a business,but based on lies.Daktari mmoja aliniambia it is World Politics at the highest level.I have seen that whole documentary. You can check it out on YouTube.
To be honest HIV/AIDS is a business, there ARV's and condoms being sold. different organizations and NGOs recieving funds etc. Whenever money is involved there will be some interest groups. If you want to learn more about the business of HIV type AIDS INC. on YouTube.
The public does not have access to any scientific discoveries regarding AIDS, what we know is what we are being told especially as from poor countries they bring as medicines they say work we just have to take their word for itt. For the time being, the whole is of HIV=AIDS is being debated but all I can say is that BETTER SAFE THAN SORRY.
WHEATHER HIV CAUSES AIDS OR NOT IT DOESN'T MEAN WE SHOULD GO SLEEPING AROUND. There are still many risks that can come out of promiscuity.
Stay safe & don't try to find out first hand whether HIV=AIDS.