Dr. Robert Charles Gallo: The man who created AIDS

Dr. Robert Charles Gallo: The man who created AIDS

Sipati picha huyu Daktari angekuwa na jina la Ki-islamu...
Dunia nzima ingejaa kelele kuwa waislamu ndio tabia zao kutengeneza virusi vya ukimwi...
Lakini kwa sababu ana jina la Ki-VATICAN watu wapo kimyaa kama wanakata gogo

hivi ww Muhammadan una matatizo gani ?
basi unahisi mnaonewa balaa
sasa HIV/AIDS na MUSLIMS wapi na wapi ?
bila shaka neurons zimegongana kichwani kwako Muhammadan kwani una-changanya mrenda na pilau mbele za haraiki
hovyo sana ww Muhammadan

.made in mby city.
 
hivi ww Muhammadan una matatizo gani ?
basi unahisi mnaonewa balaa
sasa HIV/AIDS na MUSLIMS wapi na wapi ?
bila shaka neurons zimegongana kichwani kwako Muhammadan kwani una-changanya mrenda na pilau mbele za haraiki
hovyo sana ww Muhammadan

.made in mby city.
Punguza kula nguruwe wanaleta matatizo ya akili
 
far Q NOCOLAX

pole sana Muhammadan
hivi ni kweli hata ku-type jina NICOLAX huwezi au unatania tu ?
wewe Muhammadan umekurupukia hili jukwaa hebu rudi kule MMU haraka, huku unatoa povu tu, yaani hata pasipo husiana na habari za dini unaweka udini mbele
you Muhammadan you ar a Muhammad's wife bila shaka

.made in mby city.
 
Hakuna jambo gumu kama kwenda kinyume na mafundisho rasmi(there is no difficult thing as to 'unlearn').Inakupasa uwe na uwezo au uelewa wa ziada ili kufanikisha hili,Sikonge nakupongeza kwa kuweza 'ku-UNLEARN'.Sisi watu wa dunia ya tatu tunaposikia/kuona kitu kipya ambacho ni kinyume na tulivyofundishwa na 'mainstream' huwa tunaanza kupinga kabla ya kutafakari(what a blunt brain do we have!!).Mimi nasema kwa kujiamini kabisa kwa kuwa nimeshafanya utafiti kwamba HIV hasababishi UKIMWI.Nina mambo mengi sana ya kusema kuhusu hili,lakini nitawapa mfano mmoja wale wanaopenda kupinga kabla ya kutafakari.

Hivi watu wameshawahi kujiuliza ni kwa vipi mtoto ndani ya tumbo la mama mwenye mimba aliyeathirika na ukimwi anawezaje kuzaliwa bila virusi?Mtoto akiwa tumboni mwa mama anapata damu,hewa ya oxygen na chakula kupitia mishipa ya ateri na vena moja kwa moja kutoka kwa mama yake,sasa watu waliwahi kutumia 'common sense' kujiuliza inawezekana vipi?

Hebu tusiwe malimbukeni jamani,tupende kujifunza vitu tofauti,tabia ya kupinga inaweza kukusababishia kifo.Mimi leo nikianzisha mada kwamba cancer yoyote inatibika najua watu wataanza kupinga kabla ya kujiuliza kwa vipi.Tunadanganywa mambo mengi sana na kama tutaendelea na tabia hii ya kupinga kabla ya kujiuliza muda utafika race yetu haitakuwepo juu ya ardhi.

Mkuu, huwa nafuatilia sana post zako, nafikiri nahitaji kujua uyajuayo. Nilisha wahi kuku pm ila huja respond hadi wa leo
 
pole sana Muhammadan
hivi ni kweli hata ku-type jina NICOLAX huwezi au unatania tu ?
wewe Muhammadan umekurupukia hili jukwaa hebu rudi kule MMU haraka, huku unatoa povu tu, yaani hata pasipo husiana na habari za dini unaweka udini mbele
you Muhammadan you ar a Muhammad's wife bila shaka

.made in mby city.
Minyoo ya nguruwe imeshajaa kwenye ubongo wako NOCOLAX ...
Ndio maana sishangazwi na unayofanya FAR Q NOCOLAX
 
tukiwaambia dunia inaendeshwa na watu wachache wenye agenda sa siri kwa wanadamu,mnabisha.nilisoma siku nyingi sana kuwa AIDS is a man made disease.it's not a curse to sick from HIV virus, because that was not God's plan.ni mpango wa binadamu wachache wenye nguvu wanaoitawala dunia hii na walio karibu na fallen angels, kutaka wewe au mimi ufe kwa maumbikizi ya ukimwi.STUKA!.

Nisaidie nistukeje? Huenda ni kweli hao binadamu wachache wametengeneza deadly virus, lakini ikumbukwe pia kwa sisi tunaoamini Mungu tunafahamu kabisa tumekatazwa uzinzi, na most likely virus vinaenezwa zaidi kwa njia ya kujamiiana, hili unaliongeleaje?
Ingekuwa hakuna HIV hii kasi ya uzinzi si ingeongezeka maradufu?
 
Since the discovery and all pain it has brought to Africa we should have stop it by quitting the unnecessary transmission through unfaithful relationships and meaningless sexual intercourses. Africans, we are too ignorant. That ignorance weakness is eating us alive in many other areas not only diseases. Painful truth.

Well said! Agree with you!
 
Hiki kitu kimenisumbua sana akili
Hivi inakuwaje dr wa marekakani au niseme ulaya akipat maambukizi anarudishwa kwao faster na anapona baada ya matibabu?
Lakini hawa waafrika walipelekw hukohuko na still bado wamekifa ina maana hiyo dawa inachagua?inafanya kazi kwa wazungu tu?
Yaani hivi vitu vimesumbua akili yangu.

Tumegundua wazungu wanafanya mambo kwa faida yao wenyewe!
Badala ya kuwachukia na kulialia wakati na sisi ni wanadamu kama wao tumepewa akili maarifa na utashi kwanini tusigundue magonjwa tukawaambukiza wao ili watokomee au tusitengeneze dawa au kinga zetu kutumia wanasayansi wetu wa kiafrika na kuna mtu mmoja alisema sisi waafrika ndiyo taifa la Mungu!
 
Yaani nimeona karibu kila mmoja analia na hawa wazungu tangu walipotutawala na sasa ni miaka 50 kama si 60 tangu wameondoka!
Sisi waafrika tumefanya nini kujilinda wenyewe kujiimarisha kiuchumi, kijamii, kitamaduni na kisayansi?
Kwanini tumekuwa watu wa kuonewa na kulialia tu kwa kuletewa magonjwa, vita, njaa ?
Shida iko wapi? Tuna tatizo lipi?
Kwanini tuko dhaifu kiasi hiki?
 
Yaani nimeona karibu kila mmoja analia na hawa wazungu tangu walipotutawala na sasa ni miaka 50 kama si 60 tangu wameondoka!
Sisi waafrika tumefanya nini kujilinda wenyewe kujiimarisha kiuchumi, kijamii, kitamaduni na kisayansi?
Kwanini tumekuwa watu wa kuonewa na kulialia tu kwa kuletewa magonjwa, vita, njaa ?
Shida iko wapi? Tuna tatizo lipi?
Kwanini tuko dhaifu kiasi hiki?

We are cursed, thus wy our colour is also dark, embu niambie black amegundua nini toka kuumbwa kwa dunia, instead of kucheza ngoma tuu
 
We are cursed, thus wy our colour is also dark, embu niambie black amegundua nini toka kuumbwa kwa dunia, instead of kucheza ngoma tuu

Tukikubali kama hili ni tatizo ndipo tutajua namna ya kukabiliana nalo na hata huyo aliyetulaani kama Ni kweli lakini tutamuuliza kwanini laana iwe juu yetu na je kuna namna ya kuibatilisha hiyo curse?
 
If it wasn't Christianity tusimgetawaliwa.....

Muhamadan Christians all ain't ours u guys.... We left ours and went for other people's ....!
 
U need a Christian or Islamic first name... Then our real names follows....!
 
Back
Top Bottom