Hahahaaaa! Kaazi kweli kweli.
1. Huyo kinuka mkojo wa punda nilisham ignore zamani sana ingawa naona huwa ananinukuu mara moja moja. Takataka tu hiyo. Sewage. Toilet bowl scum.
2. Leo inadaiwa kuwa sina hata nauli ya kuja bongo wakati nipo hapa Shinyanga kula Krismasi na Mwaka mpya.
3. Papo hapo, juzi juzi hapa kuna mtu kasema watu huwa tuna kimbelembele cha kuja Tanzania mara nne kwa mwaka na sasa tutakoma kwa sababu Trump karudi. Nilikuwa sijui kwenda nyumbani kwenu ni kimbelembele.
4. Usipoenda nyumbani kisa huna nauli, nongwa. Ukienda nyumbani mara nne kwa mwaka kisa nauli unazo, nongwa.
You can’t win with these fools. Ila ni makasiriko tu. Imagine mtu unajaribu kutafuta attention ya mtu halafu mtu huyo anaku ignore tu. Lazima ukasirike 🤣.
Btw, auntie is saying hello 😉😀.