Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Hamid
- Ramadhani ingekuwa kijiRev enh?
Kila muwamba Ngoma Huvutia kwake ,kwa mana hiyo wazanzibar hawastahiki kuwa na kiongozi mwenye madili na kule maendeleo ya visiwa hivyo?au ni nyinyi tu ndio wenye shida za kimaisha na maendeleo?hilo ndilo tatizo lenu kila kizuri mnataka muwe nacho ,Mzee mwinyi mlifanya hivyo sasa mnamchimba sali m .
Seif anafaa zaidi huko.
wachiwe wananchi kwa hiyari zao bila mizengwe wamuwe nani anawafaa.
Hivi SAS ni haki yake kuwa na madaraka? Mbona ameshindwa sehemu nyingi tu, kama angekuwa kiongozi shujaa asingeweza kudondoka katika pilika pilika zake kwa kipindi cha zaidi ya miaka 30 na ushee.
Tanzania imeshindwa kupata viongozi zaidi ya kuwazungurusha kama tuko kwenye mduara, wengine watatawala lini? Kuna watu tangu wamezaliwa majina ni yale yale hayabadiliki. Tuache hizi kasumba na tuwape nguvu wengi ambao wapo na wananyimwa nafasi ya kulipeleka taifa mbele.
Huu ni mwanya wa kuleta mabadiliko ya kweli na demokrasia ya kweli, kama tutaendelea na ujinga unaopelekea kulindana tutaleta maafa makubwa ambayo yale ya Somalia au Burundi yataonekana ni mchezo wa kuigiza.

Rais zanzibar 2010-Dr.Mwinyi.(Rais wa Zanzibar lazima atoke Unguja)na lazima awe mtotom wa mkubwa.This time zamu ya mtoto wa Mwinyi.
Makamu wa Rais:-Hapa pana kitendawili.Shein anaondoka lakini Salim..mhhh sioni.Anaweza kutokezea mtu asiyejulikana sana na akawa VP.
Nafasi ya Seif? Atabaki hivyo hivyo maana watamzunguka kama miaka yote.
Wengi hatupendi iwe kama hivyo hapo juu lakini nimeona mengi katika maisha yangu .Matarajio ya watu huwa hayawi kama wanavyodhani.
Mnaweza kujiuliza na huyu naye kajuaje?Subirini mtayaona!
If it happens ni very productive move kwa taifa letu...maana wapinzani wataacha kunyanyaswa na kuonekana watu wasio faa hasa wananchi wa vijijini ..the issue is there anyone kwenye upinzani anafanya homework yake ili hiyo "strategic move itokee"Ningependa kuona SAS anakwenda Chadema na kundi lake zima la waliomuunga mkono kwenye urais 2005. Kisha SAS anagombea 2010 na mgombea mwenza anakua DR Slaa. Tanzania tunauhitaji upinzani imara kuliko chochote, hatuwezi kufika popote kama tutakua tunawabeza wapinzani! Tuwaunge mkono tunawahitaji!
but ES...unaweza kufananisha bifu la ali na amani na la GEORGE na JEB bush....maana Pamoja na kumsaidia kuiba kura za florida jeb alikuwa akimuona george zezeta....tu...na anasema lazima na yeye awe RAIS......