Really?
Is SAS bigger that his motherland Zanzibar? Are we serious? Not sure!
Ninachojua SAS aliwahi kuteuliwa barozi na uwaziri, na baadaye kupendekezwa na Mwalimu Nyerere kuwa Katibu Mkuu wa OAU.
Kote alikopita hakuwahi kuonyesha uongozi wa aina yoyote. Nasema mwenye ushahidi aseme 'legacy' ya uongozi wa SAS nini?
Bora hata Mrema (police posts), na Maalim Seif (CUF) wana legacy, lakini siyo SAS!
Msipoteze muda wa Watanzania, SAS is finished; alishindwa kuonyesha uongozi OAU. He is indecisive, period! Ameshindwa hata ku-raise profile ya MNF! SAS only banks on the history of being merely lucky, in the past; a young diplomat, UN SG contestat (1981) handsome PM (1984-1985), deputy PM and defense minister (1986-1990), OAU SG 1991-2002). Hizo zote zilikuwa juhudi za Nyerere. Hata hivyo hakuna mahali alipoteuliwa aliweza ku-excel. Mzigo tulioubeba kwa Kikwete unatosha, wapo watanzania wengine wenyeuwezo kuongoza Tanzania; tuwape nafasi watuongoze. Tunachotakiwa kufanya ni kupigania mfumo utakaotuwezesha kukamua wagombea hadi tumpate mtanzania mwenyeuwezo kuliongoza taifa letu. Explore outside the Box; CCM box!!!