Dr Samia jinsi alivyo waapisha maafisa wapya TMA monduli leo

Dr Samia jinsi alivyo waapisha maafisa wapya TMA monduli leo

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Nawapongeza sana Ltn usu walio veshwa lea nyota poleni kwaza na kozi pia hongereni sio kazi ndogo wengine wanatoroka tu msata (kihangaiko)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 28 Novemba, 2024
 
Back
Top Bottom