Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Halafu sijawahi kuona ''Associate Prof.'' hana hata article kwenye Journal ya maana. Nina access na Journal karibu zote, naomba article ya Economy yoyote aliyoandika, hata journal ya development studies.

kwa mujibu wa London South bank wameandika kuwa DR.Shayo position yake ni Senior Research Fellow.
Department ya Engineering,Science and the Built Environment.
yuko section ya property,surveying and construction.
huo u associate professor wa Economics umempa wewe.
kwanza chuo chenyewe hakina kozi hata moja ya uchumi tizama website yao.
wangesema kama yuko kitengo cha uchumi acha kuwafagilia watu kibubusa.
sijaona post inayosema shayo sio msomi hapa.....ila tread inasema shayo si bingwa wa uchumi......jamaa anawaokota sana wabongo bingwa gani wa uchumi kaigizia hata article ya valentine......shayo ni msomi , kwa hiyo kama unapingamizi na elimu yake, mwandikie barua au mpigie simu. Hacha kujadili watu kama una kitu cha kuchangia katika mada zake, basi ilete badala ya kumjadili mtu binafsi
Mkuu yebo yebo mpambe wake si unajua wale wavaa kijani na kupiga makofi kila anachosema mwenyekiti......Aliyeleta uongo ni Yebo yebo kuwa DR.Shayo ni associate professor wa uchumi wakati muajiri wake kasema ni mtalaam wa mazingira yuko kitengo cha Construction, jee Yebo yebo apewe adhabu gani kwa kupotosha watu? na kusema uongo wa dhahiri?
kama wa mazingira ni sawa.Dr Shayo ni associate Prof.
Cha ajabu hapo ni kipi? Usinichekeshe kanda2, kwani mtu anaenda kusoma ulaya ili akafundishwa na mzungu?
hivi inakuwaje mtu mzima anaudanganya uuma namna hii?......kama wa mazingira ni sawa.
Mzee ninadhani wewe Binafsi hujawahi kusoma Uchumi na mtu akikuambia ni Economist sijui unaelewaje? Dr shayo ni Economist , kwenye Economics unaweza ukatumia anlytical tools unazozi acquire na ukaamua ku specialize in any Field. Na kazi ya Mchumi ni kushauri methods ambazo zitaboresha uses of scarce resources Efficiently na kupunguza costs , ndio maana kuna wachumi wa waliobobea katika mambo ya kilimo, wachumi wa fedha, wachumi wa ,ma,mbo ya sheria na hata siasa, so whe n you speaking about ecomics is a very big field. Kuhusu swala la Dr shayo kufanya kazi kwenye kitengo cha construction ni sawa, it means he understand the Material economics, always katika ujenzi we want to reduce cost, kama utafiti wake unahusu kupunguza galama za ujenzi bila kuadhiri mazingira yes it make sense, he is still an economist, Kampuni kama IKEA inatumia wachumi ku fanya utafiki wa miti itayokuwa haraka na inayopatikana kwa bei nafuu, so si shangai kwa mchumi kufanya kazi za mazingira because mazingira is still a component of means of production. Wachumi wote waliowengi they use econometrics , statistics and some computational models kufanya research in any field. Labd kwa nyongeza tu, watu wengi wenye PHD za Uchumi unakuta hata fani zao za kwanza sio uchumi, wengine huwa ma engieer, wanasiasa, uwezo wake wakufanya Research using Econometrics models , make him mchumi than a title on his PHD
Pili kuhusu hiyo shule ya london hiyo shule ni longolongo na itakuwa hairuhusiwi kisheria kutoa Degree labda inatoa degree kupitia vyuo vingine, university zote zenye charter ya Universiity in UK website zao zinaishia na ac.uk mfano kama jamiiforum ingekuwa university website yake ingekuwa www.jamii.ac.uk because u have to reach certain starnadrd ya kutambulika na charter ya university ya UK ili uweze kutumia hiyo ac.uk ukiona chuo chochote kinatumia ..com ujue ni longolongo
hivi inakuwaje mtu mzima anaudanganya uuma namna hii?......
hivi inakuwaje mtu mzima anaudanganya uuma namna hii?......
Na yoote explanation je Dr shayo ni bingwa wa uchumi?Nimefuatilia mjadala huu' Juu ya Dk Shayo kwa makini' nilicho observe ni kuwa watu wameng'amua who is who na hasa kufuatia ku flourish kwa Ma Dr Hewa vihiyo Tanzania na wimbi zima la vyeti vya kughusgi. Hili halipingiki.
But Facts are:-
1. Kwa vile Shayo ndiyo mbeba maada basi what I can Say ni kuwa ni Dr halali msomi mwenye PhD. si kihiyo
2. Ubora na Jina la chuo isiwe kipimo pekee cha kuhalisha usomi wa mtu. i.e Miaka ya nyuma kama hujasome UDSM wewe so msomi. Vyuo vingine vilikuwa kama mbadala. yaani ukishindwa kupata admission Mlimani nasi unatafuta altenative ya vyuo vingine kama Mzumbe, IFM chuo cha Ushirika etc. Je ni kweli kuwa ni waliosoma Chuo kikuu cha Dar es salaam ndiyo wana mang'amuzi mapana ya elimu? Je hakuna vilaza? je wote ni wachapa kazi na wanaitumia elimu yao sawaswa? NO
3 Nini ubora wa chuo? Majengo? other facilities kama IT na Library, excellence of staff au kozi gani zinatolewa na chuo? au unaangalia budget yao?.
4. London Southbank ni chuo kikuu kikubwa tu. Je wajua idadi ya wanafunzi wanaosoma full time hapo? Kwa wale ambao hamjabahatika kufika London the Ukweli ni kuwa London southbank University ni kikubwa na kina facilities x 10 au zaidi ya MLIMANI.
5. Uingereza vyuo ni vingi na vingi vin operate kwa kutumia very high resourceful academicians kutoka vyuo vikuuu.
6. Ubora wa chuo angalia course outline ndiyo utang'amua kama ni bomu am la.
Kwa hiyo mapungufu ya mtu binafsi au ukipanga wa mtu usihisishwe na aina ya chuo alichosoma.
Ta
Na yoote explanation je Dr shayo ni bingwa wa uchumi?
Nimefuatilia mjadala huu' Juu ya Dk Shayo kwa makini' nilicho observe ni kuwa watu wameng'amua who is who na hasa kufuatia ku flourish kwa Ma Dr Hewa vihiyo Tanzania na wimbi zima la vyeti vya kughusgi. Hili halipingiki.
But Facts are:-
1. Kwa vile Shayo ndiyo mbeba maada basi what I can Say ni kuwa ni Dr halali msomi mwenye PhD. si kihiyo
2. Ubora na Jina la chuo isiwe kipimo pekee cha kuhalisha usomi wa mtu. i.e Miaka ya nyuma kama hujasome UDSM wewe so msomi. Vyuo vingine vilikuwa kama mbadala. yaani ukishindwa kupata admission Mlimani nasi unatafuta altenative ya vyuo vingine kama Mzumbe, IFM chuo cha Ushirika etc. Je ni kweli kuwa ni waliosoma Chuo kikuu cha Dar es salaam ndiyo wana mang'amuzi mapana ya elimu? Je hakuna vilaza? je wote ni wachapa kazi na wanaitumia elimu yao sawaswa? NO
3 Nini ubora wa chuo? Majengo? other facilities kama IT na Library, excellence of staff au kozi gani zinatolewa na chuo? au unaangalia budget yao?.
4. London Southbank ni chuo kikuu kikubwa tu. Je wajua idadi ya wanafunzi wanaosoma full time hapo? Kwa wale ambao hamjabahatika kufika London the Ukweli ni kuwa London southbank University ni kikubwa na kina facilities x 10 au zaidi ya MLIMANI.
5. Uingereza vyuo ni vingi na vingi vin operate kwa kutumia very high resourceful academicians kutoka vyuo vikuuu.
6. Ubora wa chuo angalia course outline ndiyo utang'amua kama ni bomu am la.
Kwa hiyo mapungufu ya mtu binafsi au ukipanga wa mtu usihisishwe na aina ya chuo alichosoma.
Ta
..kama amesomea shahada ya kwanza ktk uchumi ana haki ya kutambuliwa kama mchumi. pia kama alikuwa ni mwalimu UDSM basi zitakuwa zinachaji kichwani.
..tuache kumsakama kwa kufundisha huko UK ktk chuo ambacho hatukiheshimu. Dr.Shayo used to teach at UDSM which is the most reputable University in Tanzania.
Nyani Ngabu said:Yaani wewe UDSM unakiona chuo cha maana? Umewahi kusikia maprofesa wa hapo wakiongea?
Nyani Ngabu,
..huo ni mjadala mwingine mkubwa, tena mpana sana, unataka kuanzisha.
..kwa uelewa wangu Mlimani wanachukua cream-of the-cream of their student kuwa waalimu pale.
..sasa Dr.Shayo alikuwa recruited kuwa mwalimu UDSM, hivyo tuna kila sababu ya kuamini kwamba he was one the brightest students during his undergraduate studies at the Hill.
..sasa na ukizingatia kwamba wa-Tanzania wengi right or wrong tunakikubali UDSM kama chuo bora kabisa Tanzania, then sioni sababu ya watu kuanza kumrushia matope huyu dogo kwa kuamua kuganga njaa at a not very reputable Univ in England.
..kwa upande mwingine mtoa mada, bwana kanda2, ana historia ya kuanzisha posting zinazoongozwa na chuki za kidini na kikabila. kwa isije ikawa dogo Shayo anaponzwa na dini na kabila lake tu.
NB:
..kwani kwa uelewa wako btn SouthBank Univ na UDSM ni chuo kipi unaona kimemzidi mwenzake?