Mzee ninadhani wewe Binafsi hujawahi kusoma Uchumi na mtu akikuambia ni Economist sijui unaelewaje? Dr shayo ni Economist , kwenye Economics unaweza ukatumia anlytical tools unazozi acquire na ukaamua ku specialize in any Field. Na kazi ya Mchumi ni kushauri methods ambazo zitaboresha uses of scarce resources Efficiently na kupunguza costs , ndio maana kuna wachumi wa waliobobea katika mambo ya kilimo, wachumi wa fedha, wachumi wa ,ma,mbo ya sheria na hata siasa, so whe n you speaking about ecomics is a very big field. Kuhusu swala la Dr shayo kufanya kazi kwenye kitengo cha construction ni sawa, it means he understand the Material economics, always katika ujenzi we want to reduce cost, kama utafiti wake unahusu kupunguza galama za ujenzi bila kuadhiri mazingira yes it make sense, he is still an economist, Kampuni kama IKEA inatumia wachumi ku fanya utafiki wa miti itayokuwa haraka na inayopatikana kwa bei nafuu, so si shangai kwa mchumi kufanya kazi za mazingira because mazingira is still a component of means of production. Wachumi wote waliowengi they use econometrics , statistics and some computational models kufanya research in any field. Labd kwa nyongeza tu, watu wengi wenye PHD za Uchumi unakuta hata fani zao za kwanza sio uchumi, wengine huwa ma engieer, wanasiasa, uwezo wake wakufanya Research using Econometrics models , make him mchumi than a title on his PHD
Pili kuhusu hiyo shule ya london hiyo shule ni longolongo na itakuwa hairuhusiwi kisheria kutoa Degree labda inatoa degree kupitia vyuo vingine, university zote zenye charter ya Universiity in UK website zao zinaishia na ac.uk mfano kama jamiiforum ingekuwa university website yake ingekuwa
www.jamii.ac.uk because u have to reach certain starnadrd ya kutambulika na charter ya university ya UK ili uweze kutumia hiyo ac.uk ukiona chuo chochote kinatumia ..com ujue ni longolongo