Dr. Shayo wa UK si bingwa wa uchumi

http://www.timesonline.co.uk/multimedia/archive/00560/College-2_560175a.jpg
Former pub became the centre of a web of bogus colleges

With its humble setting, the building might seem an unlikely nerve centre for an elaborate, multimillion-pound fraud that made a mockery of UK immigration policy.

In the rush hour, cars crawl south from the centre of Manchester along Stockport Road past line after cramped line of Asian retail outlets, some less grubby than others.

Among the fast-food shops, Haj travel agents, halal butchers, curry houses and money-exchange outlets is a former pub, reborn in 2006 as Manchester College of Professional Studies.

Here, two young men from a town in North West Frontier Province (NWFP) in Pakistan — in Britain on student visas — started a scam that would earn them a small fortune.

The Times has evidence that in 15 months from October 2006 they enrolled 1,143 foreign students, most Pakistanis, and sold bogus college qualifications to enable another 654 to extend their stay in the UK.

With each student making average payments to the college totalling at least £1,000 — in many cases it was far more — those running the operation are thought to have banked almost £2 million in less than two years.

By the time the college closed last summer, to that total of 1,797 students could be added a further 1,181 would-be international students who had been sent letters of admission.

That was a remarkable achievement for a college with only three teachers, which during its existence gave lessons from three small classrooms to — at the most generous estimate — no more than 130 genuine students. Others may have wanted to study, but found when they arrived that the course on which they were enrolled did not exist — because the college was validated to teach only eight of the 55 diplomas and degrees that it advertised.

Most students, however, had no intention of entering a classroom. They were in the UK to earn as much as possible for as long as possible.

The college’s huge intake soon gained such notoriety within Manchester’s Pakistani community that it became known as Pathan College, a reference to the language of the Afghanistan-Pakistan border region.

If the Home Office is to believed, it was also not long before word of the magic carpet to Britain reached the exporters of worldwide Islamic jihad.

The Times has established that eight of the ten Pakistani students — most from NWFP — arrested in Manchester and Liverpool last month over their alleged links to an al-Qaeda network were, on paper, students at Manchester College of Professional Studies.


.............Read More on that link. Check link ya picha.
 

Kama pesa ni ndogo, kwanini uende kwenye college subs-standard wakati unaweza kulipa pesa hiyo hiyo kwenye University nzuri na ukapata degree badala ya Associate degree?

Hata Obama akipeleka mtoto wake hapo, still, it doesnt make it a good college na tutasema.
Scandinavia, hakuna ada ya university. Kama unalipia £3500 kusoma UK chuo kibovu, kwanini usiende scandinavia utumie hiyo pesa kama living expenses, na uchanganye na pesa ambayo ungeitumia kwa matumizi UK? Yaani utapata kisomo kizuri sana.

Watoto wanatupwa na wazazi UK, wakitegemea watoto wakifika hapa wajitegemee. The truth is, you are messing up your child. Kusoma substandard college na kupoteza miaka kuna wa mess up vijana wengi na mabinti.
 

Naah, wanafunzi mimi naowajua, wakifika, wakiona madarasa, wakiangalia brochure, hazifanani. Shule imeungwa ungwa, ukitoka nje, darasa jingine sijui unatembea mtaani.

Shule bana inatakiwa iwe na campus inaeleweka, sio majengo ya kukodi kwa Patel. Mpangilio wa housing haueleweki. Ukifika mwalimu akutafutie host family ya kihindi au kipakistani ukae nao, yaani papo kwa papo. Tena nyie mnaouza hizi shule, hata hampokei wanafunzi wenu Heathrow. Wengine wanashindwa hata kupanda kwenye escalators (Si unajua mambo ya Johny come to town).......jamani, wapokeeni, sio mnawakimbia mkisha ingiza hela na commission. LOL.

Wizi wa kisomo siupendi na nitaupinga siku zote. A good education is a human right, not a route for dodgy agents to make a living out of honest people who have suffered to raise that little money they have.

Na ukizidisha ubishi tutapiga picha za campus tuzimwage hapa ohoooo!
 
Wewe NI MUONGO SANA NA INAONYESHA HUJAFIKA KWENYE HIZO CAMPUS ZAO. Nadhani unabase kwenye hearsay au ulivyoona imejengwa kwa matofali ya kuchoma ukasema imeungua.

Kama unataka tuchambue hoja kama za kwenye magazeti ya kiu na Ijumaa sawa.

Na kwa taarifa yako wako well computerised na ni chuo cha kwanza UK kutumia fingerprint kumonitor mahudhurio, japo na vingine vitalazimika kwa mujibu wa requirements za home office kama watashikia bango maana walieleza wanataka vyuo vyote vitumie hiyo system ili kubaini overseas students wasio hudhuria darasani.

NAOMBA USIEGEMEE KWENYE HEARSAY. Hii siyo tetesi KAMA UKO UK nenda pale London Bridge wana main kampasi, Elephant & Castle wana kampasi ndogo na Limehouse wanakampus ndogo kwa hapa London.

PIA NAONA HUTAKI KUUKUBALI UKWELI KWAMBA KUNA TATIZO LA STUDENTS WENGI KUTAKA KUFANYA KAZI BADALA YA KUSOMA. wengi wakikuta jinsi ratiba zinavyobana na ugumu wa sheria zao kuhusu mahudhurio wanaogopa NINA USHAHIDI WA WTZ AMBAO WALIKIMBIA (HAWAKUFANYA REGISTRATION) KWA SABABU HATAPATA MUDA WA KUFANYA VIBARUA.

NASISITIZA TENA MIMI SINA MASLAHI YA AINA YOYOTE NA HICHO CHUO ILA UMBEYA USIO NA MAANA SI MZURI au generalization si nzuri.Kanda2 bado anakazania bei hiyo hoja nimeshauri itakuwa vema kama itajadiliwa under a market strategies perspective.

Ukiniambia kwamba kumbi zao za mihadhara zinajaza watu kama za bongo sawa, maana kwenye kumbi zao za mihadhara ni kubwa na wanatumia speaker.
 
......puuulizzzzz.......acha UONGO!!....kwa hiyo walioongoza huko nyuma kabla na baada ya huyo Mzungu waliteremshwa na Malaika!!........nilifikir una point kumbe........anyway ngoja niendelee kukusoma.........i hope sitakuwa napoteza muda.........

Sio mzungu tu hata LEODGAR TENGA alipata ukurugenzi wa kampuni ya land rover East Africa kwa vile ana Engineering na MBA walikuwa wanatafuta Engineer mwenye ujuzi wa utawala. hili linavunja hoja ya DR.Shayo kuwa hata ukisoma engineering kuna uchumi kama project management, Tenga alipewa based on HIS MBA
 

Hili somo kubwa kwa wanaovamia colleges za mitaani,lakini mtu anaweza kujenga hoja kuwa hata mdogo wake Musharaf anasoma chuo hicho hivyo sio bogus college.

nilieleza huko juu kuwa Home Office si lolote kwenye habari hii inaonesha jinsi gani Home Office ni wazembe.
 

Kanda2 inaonyesha unaongea bila kujua nini kinachoendelea.

Unafahamu utaratibu mpya ulionza kutumika 31/03/2009? Kuhusu vyuo vinavyorecruit international students?

Sababu kubwa ya huo utaratibu ni kuthibiti vyuo bogus na wanaotaka kuja kwa ajili ya vibarua.
 
kanda2,

..umedai kwamba Dr.Shayo siyo mchumi, bali mbabaishaji. zaidi anaganga njaa kwenye chuo cha hovyo-hovyo in the UK. sasa ya nini kumuandama kiasi hiki?


..halafu inaelekea una dossier ya kila mchagga. why are you so obssesed na hawa watu? wamekukosea nini mpaka uwe na usongo nao kiasi hiki?
 

Sikuwahi kusema Shayo ni mganga njaa kama unataka kumtukana mtukane,wapi nimesema mganga njaa?
wewe Joka kuu ni mnafiki na muongo MKUBWA,umemkataza Nyani Ngabu asichangie kwa kumwambia kuwa hata wewe huoni haja ya kushiriki kwenye mjadala huu kwa vile mwanzilishi ni MDINI na Mkabila.

sasa unarudi tena kuandika kitu ulichokataa kukifanya. umezuia wenzeko wakati wewe unafanya. ni UNAFIKI WA KARNE.

kwani mzungu aliyekuwa mkurugenzi wa Hospital ya Muhimbili alikuwa mchagga? nimemuongelea kuvunja hoja ya leo Kweli kuwa ukifanya Engineering basi utakuwa na maarifa ya uchumi.kitu ambacho si kweli. kujibu hoja ya Ogah nikamtaja Leodgar Tenga kuwa nae ana MBA kitu kilichowavutia shirika la Land Rover kumpa ukurugenzi,

kwanza elewa kuwa Tenga ni mtu maarufu na mtu wa watu,haegemei kwenye siasa za ukabila.hivyo mimi kumjua si cha jambo la ajabu.sina habari ya kila mchagga mfano sitaki kujua wala sijui Mramba alisoma wapi au ana elimu gani.

ukitizama maelezo yangu juu ya Tenga nimumueleza nikiwa very positive,kwahiyo kina KAMALA,NCHIMBI,NAGU na MATHAYO DAVID,huwatetei kwa vile sio wachagga wenzako?

nitaendelea kumtaja na kukomsoa mtu bila kujali yeye ni mchagga au laa,usinitishe huna uwezo wa kunizuia MIND UR BUSINESS.
Shayo ni mwanamazingira sio mchumi hata uchukie sina njia ya kukuridhisha kuwa ni mchumi.
 
kanda2 said:
ukitizama maelezo yangu juu ya Tenga nimumueleza nikiwa very positive,kwahiyo kina KAMALA,NCHIMBI,NAGU na MATHAYO DAVID,huwatetei kwa vile sio wachagga wenzako?

kanda2,

..nimesema wewe posting zako nyingi ni za kushambulia Wachagga na Wakristo. ndiyo maana nikamuonya Nyani Ngabu awe makini kidogo ktk kukuunga mkono.

..sasa katika vigogo wote wenye vyeti toka vyuo feki umeona hao Wakristo tu? mbona wengine ambao wako kwenye wizara nyeti kabisa huwaumbui?

..kwani huyu dogo Shayo ni Waziri,Naibu Waziri,Katibu Mkuu,au Mbunge, mpaka umuandame kwa hasira na jazba kiasi hiki? ana umuhimu gani huyu kwa Tanzania kiasi attract attention yetu kiasi hicho?

..hata kama ni mwanamazingira kama unavyodai, amekiuka sheria gani kwa kuchangia masuala ya kiuchumi aliyokuwa na uelewa nayo?
 

Kaka/Dada Joka kuu.

mara unisingizie kuwa nimesema DR.Shayo mganga njaa, nimekuuliza wapi nimesema uko kimya, mara useme Tenga namjadili kwa uchagga wake lete uthibitisho kimya,mara nawafuatilia wachagga.nipe ushihidi huna!.
lini nimeshambulia wachagga?

shayo sina jazba nae. mwenye chuo cha london school of commerce na wakala wake ni waislam mbona husemi nawashambulia kwa dini yao?

mawaziri wenye vyeti vya uongo ni pamoja na Mahanga,mkuu wa mkoa LUKUVI na mwenyekiti wa TLP Mrema. kama unawajua wengine wataje sijakuzuia.

lini nimeshambulia wachagga na wakristu? naomba nikumbushe Joka kuu.kama ulivyonikumbusha kuwa kuna mawaziri wenye vyeti vya uongo sijawataja.kumbuka kuwa TAKUKURU haikuwapeleka kina mramba mahakamani kwa uchagga wao bali kwa wizi wao.
dr.Shayo si mchumi,hajasoma uchumi na haujui
 
kanda2,

..hizi hasira zote za Dr.Shayo ambaye unadai ni mwanamazingira anaye-pose kama mchumi zinatoka wapi?

..unazungumza kwa hasira ndiyo maana wengine naona kama unakereketwa na chuki ya namna fulani.

..ukizingatia kwamba umeshatoa hoja zenye Udini hapa jamvini ndiyo maana na wengine tunahisi kuna unasukumwa na chuki za kidini ktk hili.

..ukizingatia kwamba Shayo ni mchagga, na kuna topic kadha wa kadha zinazoshambulia wachagga, ndiyo maana wengine tunakuweka pia kwenye kundi la wenye chuki za kikabila.

..bado kuna mawaziri wana vyeti toka vyuo feki lakini naona unawasitiri. mawaziri hao wako kwenye wizara nyeti sana. kama kweli una uchungu wa kulinda taaluma ungewasakama vigogo hao na siyo mtu mdogo kama Dr.Shayo.

NB:

..hakuna mahali niliposema kwamba Mramba na wenzake wanashitakiwa kwasababu ni Wachagga.
 
kanda2,

..nimesema wewe posting zako nyingi ni za kushambulia Wachagga na Wakristo. ndiyo maana nikamuonya Nyani Ngabu awe makini kidogo ktk kukuunga mkono.
unaweza kudhibitisha maandishi yako?..

...wewe jokakuu unataka kuharibu thread hapa tunazungumzia kuwa dr shayo si mchumi kama anavyojitangaza kwenye mablog ila ni mwanamazingira.....hizo poit zako za ukabila na udini unasema wewe.....kanda2 hajasema lolote kuhusu ukabila wala udini ni maoni yako yenye upungufu wa uchanganuzi na uelewa wa mambo...
 
Yoyo said:
unaweza kudhibitisha maandishi yako?

Yoyo,

..hata wewe unaweza kuthibitisha kwamba posting za kanda2 ni kinyume na madai niliyoyatoa.
 
Yoyo,

..hata wewe unaweza kuthibitisha kwamba posting za kanda2 ni kinyume na madai niliyoyatoa.
mie mkuu sijaona sehemu mkuu kanda2 mabandiko yake yana harufu ya ukabili au udini....labda unipe link mkuu yawezekana sijaona.....

.....hoja za kanda2 ziko wazi kabisa kasema dr shayo sio kwamba ni mbumbumbu..la hasha ila ni kwamba sio mtaaluma wa fani ya uchumi kama dr shayo anajitangaza mwenyewe kwenye mablogu ya kibongo....hope tupo pamoja....

na fact ni kuwa hata chuo anachofundisha kina vilelezo kuwa dr shayo ni mwanamazingira na sio mchumi...
https://phonebook.lsbu.ac.uk/php4/person.php?name=shayo.h

Entry for: Dr Hildebrand Shayo Name: Dr Hildebrand Shayo


Position: Senior Resarch Fellow
Email:shayoh@lsbu.ac.uk
Telephone: +44 (0)20 7815 7142
Fax: +44 (0)20 7815 7699
Department: Engineering, Science and The Built Environment
Section: Property, Surveying and Construction

Kipi kigumu kueleweka wadau?
 
Last edited:
It is in the inherent nature of the internet.
 

Kwenye topic kadhaa wa kadhaa zinazoshambulia wachagga nioneshe moja tu niliyowashambulia?ningechangia mjadala wa Mengi na RA kwani Mengi ni mchagga na RA si mchagga.

kaka/dada joka kuu usiishi kwa hisia kuwa fulani mdini au mkabila bila kuwa na ushahidi.

mimi sio kazi yangu kuwajua mawaziri wenye vyeti feki wote ninaowajua kwa bahati mbaya wametoka dini moja.muislam ninayemkumbuka ni Kihiyo hakuwa wizara nyeti alikuwa mbunge wa Temeke.

kumjuaTenga kama ana MBA yeye ni mwanamichezo na mimi ni mtu wa michezo,tulipokuwa tunatafuta rais wa TFF tulikuwa tunatizama watakaotuongaza wana elimu gani? sikumjua Tenga kama mchagga hapana tunajuana toka yuko KIBAHA HIGH SCHOOL,namjua kama mwanamichezo mahiri katika nchi yetu anayejiheshimu na kuheshimu kazi yake.

nawajua wengi kama Madega Imani ana digri ya sheria mwenyekiti wetu, lucas kisasa ana ya habari,Mwakalebela ana MBA amefanya A LEVEL Songea boys HGL ambaye ni katibu mkuu wa TFF,makamu wa kwanza wa TFF Athuman Nyamlani ana digri ya sheria amesoma Tambaza sekondari,Makamu wa Pili wa TFF Ramadhan Nassib ana B.COM toka chuo kikuu cha Dsm sijui A level kasoma shule gani,Katibu mkuu wa Simba Kaduguda ana masters,Magori aliyekuwa makamu wa kwanza wa TFF ana masters ya Uholanzi baada ya kuwa mwalimu wa CBE kwa muda. ninawajua wengi na hao niliokutajia sio wachagga.

napenda kujua mambo mengi kama kujua kuwa LONDON SOUTHBANK ni chuo cha mwisho kwenye universities league Table,sina bifu na wachagga imetokea tu DR.Shayo anadanganya akiwa katoka kabila lako.

tungekuwa tuna chuki na wachagga Tenga asingepata urais wa TFF kwani hakuna wachagga wanaopiga kura,na unajua kuwa Tenga huwa hatoi kitu kwa wapiga kura kwenye chaguzi.
dr.Shayo ni mwanamazingira na si mchumi ukumbuke hilo.
 
Mimi nilikimbia umande. Lakini kama sikosehi John von Neumann, Alan Turing walikuwa wamesoma math, physics na walitoa mchango mkubwa katika field zingine kama vile computer science na uchumi.

Kinachotakiwa ni mchango katika jamii.
 
Yoyo,

..hata wewe unaweza kuthibitisha kwamba posting za kanda2 ni kinyume na madai niliyoyatoa.

thibitisha wewe uliyesema kuwa mimi mkabila.naona unataka kutumia njia hii kumnasua msomi mahiri wa mazingira DR.Shayo.lakini mimi nimeshtuka hunipati huko unakotaka kunipeleka.nimepangua hoja zote za shayo/london school of commerce kwa vielelezo sio hear say wala jazba unayonisingizia.sikusema mimi kuwa chuo cha DR.Shayo ni bomu ila ni www,timesonline.co.uk wamekirank cha mwisho hivyo si maneno yangu.ukitizama guardian.co.uk la mei 11 wamesema kuwa ni chuo kinachosuasua.
 
Mimi nilikimbia umande. Lakini kama sikosehi John von Neumann, Alan Turing walikuwa wamesoma math, physics na walitoa mchango mkubwa katika field zingine kama vile computer science na uchumi.

Kinachotakiwa ni mchango katika jamii.

Hajakatazwa kuchangia kwenye makongamano ya uchumi .lakini sio kujifanya yeye ndio mtoa mada na kuwabishia watalaam wa uchumi kama Professor Benno ndullu waliojikita kwenye fani.
inatakiwa aseme jamani mimi sio mchumi ni mtu wa mazingira ila nasikia kuna hiki na kile nimegoogle au nimekopi toka kwa mtalaam fulani.

tunachokataa kujipa AUTHORITY kuwa ni bingwa wa uchumi,masikini kina michuzi wanasema kila siku wao hawana elimu anapenda kutumia English not reachable akiwa na maana hajasoma vizuri.kama shayo anadai mjuzi wa uchumi angeandaa mada na wanafunzi wa UDSM kitengo cha uchumi lakini akifika Dsm anakimbilia kwa michuzi kuandaa mada na kumuhadhiria michuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…