Kukaa London sio sababu ya wewe kujua kila kitu nina mashaka na ukaaji wako London na ukashindwa kujua kuwa London South bank sio chuo cha maana.
hebu jaribu kupita kwenye Academic Departments za chuo cha LEICESTER
University of Leicester au Warwick
Welcome to the University of Warwick linganisha na chuo chako cha Southbank
London South Bank University - become what you want to be halafu uje kutuambia kuwa walio rank ni wajinga.
pia pitia CV za staff wa vyuo hivi mfano kitengo cha sheria Leicester malecturer wao walivyokwenda shule.
kingine maeneo ya South Bank yanathibitisha sio chuo bora kwani kipo eneo la wajamaica ambao si wasomaji na hao ndio wanafunzi wa south bank.
yaani sawa na chuo kipo mtaa wa congo wakati Mzumbe au Udom au Udsm mandhari yake tu yanathibitisha kuwa wako kwenye eneo la kusoma.
watanzania muwe wenye kufanya utafiti hata kama hatujafika ulaya lakini information zote ziko kwenye mitandao.
hata kozi za south Bank nyingi ni part time kwa masters hilo linathibitisha hawana namba ya kutosha ya wanafunzi. mfano wa kozi ya MBA iko very shallow na haiko recognised na Association of MBA au kwa kifupi AMBA.
Tizameni MBA program ya Nottingham university na South bank halafu mjue kuwa pumba ni zipi na mchele ni upi?
kaka Yebo yebo naona hujanijibu tena, hoja sio kama DR.Shayo hajasoma ila amesoma kozi nyingine na kujifanya mtalaam wa uchumi.
Udsm kuna watu walikuwa wanasoma sociology lakini wanajifanya wako Law ni hulka ya watu.