Dr Shika atangaza kuihama nchi

Dr Shika atangaza kuihama nchi

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
762
Reaction score
1,688
Yule billionaire wa nyumba za lugumi ametangaza kuhamishia makazi yake nchini Marekani.. Ameyasema hayo wakati akiongea na East Africa Television kwenye kipindi cha weekend breakfast..
 
Kwa UBIA alio ingia na WADAU mbalimbali, kama alikuwa na mipango ya kwenda huko na kikwazo kwake kikawa ni nauli, kwa sasa yuko Njema..

Tunamtakia safari njema..!
 
Bado mnaendelea kumchukulia serious huyu Mzee?
 
Akili yakr kubwa sana. Kawafanya wabongo waache kujadili mustakabali wao na akawa habari ya mujini sasa anakuwa balozi wa UNHCR!
 
Nilisema tangu mwanzo kuwa ni watu wenye sense ya 6 watamwelewa huyu mzee (CIA)
 
Back
Top Bottom