Dr Shika atangaza kuihama nchi

Dr Shika atangaza kuihama nchi

aiseee dr Shika nomaaa ndio anahojiwa Azam two sasa hivi,huyu mtu si kispotispoti
 
Huyu Mtu ni Kichaa sio Mzima, nashangaa anapewa Airtime kwenye Media kumbe kichaa.
 
Ahame tena? wapi atakutana na ukarimu kama huu wa Watanzania?

Basi aende Korea kule kwa Kim, afanye alichofanya alafu akione cha moto.
 
Back
Top Bottom