Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Minah34, salama dadake?Aende salama...
Yule billionaire wa nyumba za lugumi ametangaza kuhamishia makazi yake nchini Marekani.. Ameyasema hayo wakati akiongea na East Africa Television kwenye kipindi cha weekend breakfast..
Billionaire gani anatangaza biashara za millioni anaishi nyumba ya kupanga. Anavaa ndara dentists hajamuona miaka kula ya kuunga unga na ahadi zisizo kamilika. Huyu jamaa ni chizi tuTRA hawajamfata, maana nae alijitangaza ni Bilionair,