Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kaka yake Dr. Shika aitwaye Palanya, umri miaka 84, amesema Dr anakabiliwa na kosa la kudharau kwao, na hamna msamaha isipokuwa viboko 12.
Dr. Shika kwa upande wake, kasema hana mpango wa kwenda kwao kwakuwa wazazi wake walishafariki.