Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Nov 21, 2017 #1 Kaka yake Dr. Shika aitwaye Palanya, umri miaka 84, amesema Dr anakabiliwa na kosa la kudharau kwao, na hamna msamaha isipokuwa viboko 12. Dr. Shika kwa upande wake, kasema hana mpango wa kwenda kwao kwakuwa wazazi wake walishafariki.
Kaka yake Dr. Shika aitwaye Palanya, umri miaka 84, amesema Dr anakabiliwa na kosa la kudharau kwao, na hamna msamaha isipokuwa viboko 12. Dr. Shika kwa upande wake, kasema hana mpango wa kwenda kwao kwakuwa wazazi wake walishafariki.
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,898 Reaction score 14,413 Nov 21, 2017 #2 Hizi Mahakama za Gachacha zina shida sana
Night Watch JF-Expert Member Joined Apr 4, 2017 Posts 2,092 Reaction score 2,126 Nov 21, 2017 #3 [emoji23] [emoji23] [emoji23]