Dr. Shika Mwonekano Mpya

Sisi tukipewa card zetu mbona hatupigi Nao selfie? CRDB wamlipe.. Hahahaha
 
Vijana tutafuteni pesa uzee una shombo mbaya sana na unakuwa mtu wa lawama tu "ndugu zangu au marafiki hawanijali yaani full lawama plus kisirani
 
Si daktari atafute hata ka dispensary awe anafunga vidonda anakubalije kufulia mtaani kiasi hicho huku taaluma anayo?
Alizikubali frustrations zimtawale.kwa sasa akili itamrudia huyu hatokubali arudi kwenye maisha ya kujifungia ndani wiki bila ya kula
 
Mmeona mipesa ya Urusi haiji sasa mmeamua kumpa shughuli nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…