Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu alikuja kufunika makinikia eeh hahaha sasa kafunikwa na babu seyaAma kweli Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake....Dr. Shika kabadilika kabisa. Looks so executiveView attachment 653050
kama anachosema ni kweli hata magu hamkamatii......... paada ya phd ameongeza na nanihii 3 mbeleSi daktari atafute hata ka dispensary awe anafunga vidonda anakubalije kufulia mtaani kiasi hicho huku taaluma anayo?
ila hili pozi kama bashiteAma kweli Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake....Dr. Shika kabadilika kabisa. Looks so executiveView attachment 653050
God is goodAma kweli Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake....Dr. Shika kabadilika kabisa. Looks so executiveView attachment 653050
Dah kweli jamaa kafanana na dr.shikaAma kweli Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake....Dr. Shika kabadilika kabisa. Looks so executiveView attachment 653050
Haswa,MUNGU akitaka kuuinua haijalishi uko na hali gani. Hufanya surprise tu
Alizikubali frustrations zimtawale.kwa sasa akili itamrudia huyu hatokubali arudi kwenye maisha ya kujifungia ndani wiki bila ya kulaSi daktari atafute hata ka dispensary awe anafunga vidonda anakubalije kufulia mtaani kiasi hicho huku taaluma anayo?
kichwa kina PHD ya medicine wakuu.. msikichukulie poa kabisaAma kweli Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake....Dr. Shika kabadilika kabisa. Looks so executiveView attachment 653050
KHAAAYaa ni kweli Mungu akitaka kukupa hakuandikii barua
Sio Six Park wewe, ni Six Pack.Ataanza kwenda gym sasa kutengeneza Six Park
Ama kweli Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake....Dr. Shika kabadilika kabisa. Looks so executiveView attachment 653050
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio Six Park wewe, ni Six Pack.