ya babu seya haijavuma Sana, ishachujahuyu alikuja kufunika makinikia eeh hahaha sasa kafunikwa na babu seya
Working permit ndo tabu kule hakutoka na chochoteSi daktari atafute hata ka dispensary awe anafunga vidonda anakubalije kufulia mtaani kiasi hicho huku taaluma anayo?
Imeisha haraka sanaya babu seya haijavuma Sana, ishachuja
Maana yake hata hiyo digrii moja inaweza kuwa ni swaga? basi si alikuwa rural medical assistant kabla hajaenda huko si atumie basi hata hicho ?Working permit ndo tabu kule hakutoka na chochote
Hama nchi[emoji23] [emoji23]Hivi hii nchi yetu inaelekea wapi jamani? yaani kweli inawezekana kutukuza criminals eti ni watu maarufu? Mtu ambaye alitaka kufanya utapeli mchana kweupe? watoto wetu tunawafundisha nini?
Kwa kweli issue ya Dr. Shika inanifanya baadhi ya waTanzania wenzangu niwaangalie mara mbili mbili!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasahivi anaweza kuingia hata form two A.
Okey asante mkuuSio Six Park wewe, ni Six Pack.
kabisaYaa ni kweli Mungu akitaka kukupa hakuandikii barua
Anahusika VP hapa ?! Usituharibie cku mkuu.
Noted[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zilikamatwa airport mkuuKashalipwa zile bilioni????
Vuta subra nduguyangu zinakuja kabla ya xmassKashalipwa zile bilioni????