Dr. Shika Mwonekano Mpya

Dr. Shika Mwonekano Mpya

Halafu umwambie Bongo Bahati Mbaya lazima akutemee mate
 
Working permit ndo tabu kule hakutoka na chochote
Maana yake hata hiyo digrii moja inaweza kuwa ni swaga? basi si alikuwa rural medical assistant kabla hajaenda huko si atumie basi hata hicho ?
 
Zile pesa zake hazijafika? Maana tuliambiwa ameshalipia bima
 
Hivi hii nchi yetu inaelekea wapi jamani? yaani kweli inawezekana kutukuza criminals eti ni watu maarufu? Mtu ambaye alitaka kufanya utapeli mchana kweupe? watoto wetu tunawafundisha nini?

Kwa kweli issue ya Dr. Shika inanifanya baadhi ya waTanzania wenzangu niwaangalie mara mbili mbili!
Hama nchi[emoji23] [emoji23]
 
Kamaliza mwaka vizuri na 2018 anaingia nayo saaaafi.
 
Hyo ndyo pesa ukiwa nayo unaweza kubebewa hata korodani zako kwenye grasi ya juice
 
Back
Top Bottom