Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Umefanyaje mpaka ubanikwe tena?Dr. Shika anatabasamu bila kufungus mdomo akichelea mapengo yataharibu picha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefanyaje mpaka ubanikwe tena?Dr. Shika anatabasamu bila kufungus mdomo akichelea mapengo yataharibu picha.
Pesa ndio habari ya mjini.![]()
Dr Shika akiwa Na mod asiye Na jukwaa maalum
kivipi!!?..kabila tunaendana..tatizo lako niniPolee, haujafuzu bado.
Kasie Matata.
kivipi!!?..kabila tunaendana..tatizo lako nini
Hukusikia zimekamatwa airport aliyezileta yule mgandaDr. Shika aliwashika wengi sana, sijui ela zake zinafika lini tz
Kabla ya kupuuzwa alikuwa anahurumiwa , ndio maana alikuwa anaishi nyumba ya watu bure .! Nani kampuuza na kabla ya kupuuzwa alikuwaje?
Lakini hakuna ubaya wewe mwenyew kumpatia hayo mafunzo tena kwa ustandi kabisaHujafuzu Mafunzo.
Yupo na mod asiejulikana!
PainKiller katika ubora wakePesa ndio habari ya mjini.
Hadi Mod kafurahi kuonana na Dr.Shika, huenda ni PainKiller huyo maana kuna siku aliwahi kusema anapenda kukutana na Joseverest na Dr. Shika kabla mwaka huu haujaisha
Bima ya pesa zake bado inazinguahela zake bado hazijafika tu?
Kuna tetesi kuwa Dr Shika alirudi CCM kuunga mkono juhudi za Mh.Rais.Baada ya kujipendekeza ccm huyu masikini watu wamempuuza vibaya sana !
Kwa ha ha haa.Kama mamod wenyewe ndio wana sura kama hizi,bas ni kweli wanastahili kutoa ban
Ashamaliza kuitumikia eagle house, kwa ku divert mjadala.HELA GANI ???? MAVI YA KUKU !!! HANA HELA HANA NINI, KICHWA KIMEDATA NDIO MAANA WATAALAMU WAJUZI WA MAMBO WALIPOMBAINI HAWAKUONA HAJA YA KUMFUNGULIA MASHTAKA WAKAMWACHA ANENG'ENEKE NA MAZUZU WENZIE !!!
![]()
Dr Shika akiwa Na mod asiye Na jukwaa maalum
Popote penye mkwanja Shika yupoKuna tetesi kuwa Dr Shika alirudi CCM kuunga mkono juhudi za Mh.Rais.
Hivi kaanza kujichubua siku hizi huyu Dr. Shika?