Dr Shika ukipata fedha zako tafadhali nikopeshe 290M

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Heshima kwako Dr, nafahamu wewe ni mwanachama hapa Jf, najua utaisoma hii post, kama kichwa kinavyojieleza tafadhali naomba unikopeshe kwa muda wa miaka 3 bila riba.
Naamini itapendeza zaidi. Ni PM ukifanikiwa.
 
Itapendeza uje na barozi wako usaini j.tatu zitakuwa tayari
 
Ngoja nijifunze kitu kutoka Russia na bima ya kutuma hela inatoka Africa wakati fedha zipo huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…