Habari zilizopatikana alfajiri hii zinathibitisha ya kuwa hali ya kisiasa kwa Mbunge wa CCM Dr. Siame si nzuri baadaya kuachwa Mbali na Mgombea wa CHADEMA. Figures zitafuata punde!
Huyo alikuwa amekaliwa kooni na jimboni lake ni katika majimbo manne ya Mbeya ambayo CHADEMA wanaweza kushinda. Mengine ni Mbeya mjini ambalo wameshinda, Mbeya vijijini na Mbalali.