Elections 2010 Dr. Siame Mbozi Magharibi Apumulia Mashine

Elections 2010 Dr. Siame Mbozi Magharibi Apumulia Mashine

Whisper

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
502
Reaction score
207
Habari zilizopatikana alfajiri hii zinathibitisha ya kuwa hali ya kisiasa kwa Mbunge wa CCM Dr. Siame si nzuri baadaya kuachwa Mbali na Mgombea wa CHADEMA. Figures zitafuata punde!
 
Huyo alikuwa amekaliwa kooni na jimboni lake ni katika majimbo manne ya Mbeya ambayo CHADEMA wanaweza kushinda. Mengine ni Mbeya mjini ambalo wameshinda, Mbeya vijijini na Mbalali.
 
Back
Top Bottom