Dr. Slaa afunguliwa mashtaka mahakama kuu leo

Dr. Slaa afunguliwa mashtaka mahakama kuu leo

mmehamisha huku ili kumlinda mtu wenu si o ?

mbona ya mwanakijiji mmeiacha kule kule

mnasingizia masuali ya sheria ? hii ni siasa irudi kule acheni sura mbili nyny
Panga pangua haiwezekani fisadi wa mali ya umma hawe bora zaidi kwenye kupewa nchi kuliko yule aliyitembea na mke wa mtu.
 
Woooooooooooooooooo nimefurahi sana,kama mimi vile natamani ni inunue,maana huyu jamaa namjua vizuri sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,kachemka kwelikweli,mtaona sisiemu itakavyo mtosa atakapoanza kushindwa.ushahidi mmoja tu ninao, alimuaga nakumwambia baki na kibaanda chako naenda kwanye nyumba yangu sasa hapo patamu sijui hakumbuki hilo mpaka aseme ameporwa?/

Will this scandal have anything to do with any of the Tanzanians with Asian origin? Vote JK and stop xenophobia!
 
Will this scandal have anything to do with any of the Tanzanians with Asian origin? Vote JK and stop xenophobia!


issue ya kuto vote kwa SLAA ninahusiana na kuwa hawezi kushughulikia uchumi,wala rushwa,maendeleo ya wana nchi? Hivi ndio vitu vya kusimamia ktk kuchagua kiongozi.
MKWERE hana uwezo kwa nn achaguliwe ahadi za 2005 atuambie ipi katimiza maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi?
 
issue ya kuto vote kwa SLAA ninahusiana na kuwa hawezi kushughulikia uchumi,wala rushwa,maendeleo ya wana nchi? Hivi ndio vitu vya kusimamia ktk kuchagua kiongozi.
MKWERE hana uwezo kwa nn achaguliwe ahadi za 2005 atuambie ipi katimiza maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi?
u

Let's get the facts here. Corruption is practiced by individual citizens in Tanzania, but not among those in power. Remember JK has done a lot to fight corruption. He formed Takukuru. Our leaders are very clean, but local people in the street level are the ones practicing corruption.
Vote CCM
 
u

Let's get the facts here. Corruption is practiced by individual citizens in Tanzania, but not among those in power. Remember JK has done a lot to fight corruption. He formed Takukuru. Our leaders are very clean, but local people in the street level are the ones practicing corruption.
Vote CCM
It is because of these PATELS we now know corruption and grand corruption,I wish there was a way to.........all these patels who brought this damn disease in this country. You are now dreaming death if some one else than JK/CCM get into power???????
 
alikuwa wapi huyo mahimbo?leo ndio ashtuke?kwa nini aende kwenye vyombo vya habari?kwa nini kesi ianzie mahakama kuu na sio mahakama ya mwanzo?
 
DR. SLAA AFUNGULIWA MASHTAKA MAHAKAMA KUU LEO


MGOMBEA urais kwa tiketi ya CHADEMA, Dk. Willbrod Slaa (pichani), amefunguliwa kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaami, akidaiwa fidia y ash. bilioni moja kwa madai ya kunyang’anya mke wa mtu.

Kesi hiyo namba 122 ya mwaka 2010, ilifunguliwa leo mahakamani hapo na Aminiel Mahimbo kwa kupitia ofisi ya mawakili ya Amicus.


Mahimbo anadai kuwa, Dk. Slaa kamnyang’anya mkewe wa ndoa Josephine Mushumbusi.

Kwa kupitia nakala ya hati ya madai, Mahimbo anadai fidia ya sh. milioni 200 kutokana na hasara alizozipata baada ya mdaiwa huyo, kumtangaza mkewe wa ndoa Josephine kuwa mchumba wake na sh. milioni 800 ikiwa ni hasara ya jumla aliyopata.

Mlalamikaji huyo, anadai Septemba 7, 2002 alifunga ndoa na mwanamke huyo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ushirika wa Kijitonyama na kuishi maeneo mbalimbali ikiwemo Kimara, Baruti, Dar es Salaam.

Pia anadai katika maisha yao ya ndoa wamebahatika kuwa na watoto wawili ambao ni Upendo aliyezaliwa Mei Mosi, 2003 na Precious aliyezaliwa Machi 14, 2007.

Mahimbo alidai, ndoa kati yake na Josephine haijavunjwa na chombo chochote na kwamba, bado ni mke wake halali.

Kwa mujibu wa hati hiyo, Mahimbo alidai hivi karibuni, mkewe alikuwa na safari za mara kwa mara na aliamini ni za kikazi. Josephine ni mfanyabiashara ambaye anaendesha kampuni iitwayo Green World Clinic.

Alidai katika tarehe na mahali tofauti, Dk. Slaa alimtambulisha mwanamke huyo kuwa ni mkewe, suala ambalo si kweli.

Mlalamikaji huyo alidai, uhusiano uliopo kati ya watu hao wawili umemfanya adhalilike na kunyanyasika katika jamii na anaiomba mahakama kumzuia Dk. Slaa kuendelea kujihusisha kimahusiano na mkewe.

Anaiomba mahakama kumwamuru Dk. Slaa kumlipa bilioni moja na kulipa gharama za kuendeshea kesi.

Mahimbo amedai ameambatanisha na cheti cha ndoa na Josephine, picha za harusi, vyeti vya kuzaliwa vya watoto na nakala za vipande vya magazeti zilizopigwa wakati Dk. Slaa akimtambulisha mwanamke huyo kuwa ni mkewe.

Source: Michuzi

Hizi ni njama za ccm kumuwekea visiki Dr. Slaa asiendelee vizuri na kampeni za uraisi. Watanzania tufungue macho, tuone hila za CCM kung'ang'ania kutawala ili kuendeleza ufisadi na utawala mbovu. Watanzania wazalendo wote tuwe pamoja na Dr. Slaa wakati huu kumuunga mkono, na kulaani njama za CCM.

Kwa pamoja, hakika tutashinda kwa vile juhudi zetu ni za haki mbele ya Mwenyesi Mungu na wanadamu. Juhudi za CCM zimejaa uovu uliokithiri, na hakika watashindwa.

Kwa kufungua kesi mahakamani ni vizuri tu kwani sasa hatutaona huo umbea wao kwanye magazeti na vyombo vingine vya habari. CCM wametuboa kwa wiki sasa na udaku wao juu ndoa ya Dr Slaa, yaani CCM imekuwa ZE UTAMU, na Makamba ndiyo amekuwa Shigongo.
 
Case za civil mara nyingi proof is on balance of probability.... Mahimbo atakiwa kuthibitisha...kuwa Slaa kamchukua Josephine huku akijua fika kuwa anamchukua mke wa mtu... sasa huyu Mahimbo alimwacha mkewe akaishi nje ya matrimonial home muda wote na asichukue hatua yeyote.Hizo bilioni hadi azipate itabidi wacheze game la nguvu sana. Isitoshe mke wa mtu kaandikwa usoni?

Umewathibitishia wanaume wanaotembea na wake za watu waendelee. Hata wewe ukipata king'asti twende kazi kwani huna andishi usoni kuonyesha kuwa u mke wa mtu.

Tusipindishe ukweli kwa ushabiki au upenzi.
 
Back
Top Bottom