Elections 2010 Dr slaa ahudhurie au asihudhurie kuapishwa kwa kikwete kesho

Mmeshindwa nyamazeni, kwani hamna ubavu wakupambana na CCM nyie. Mlidhania RAIS anachaguliwa kwa vi sms vya humu JF ? mlijipa hope wenyewe kuwa slaa anashinda. Napenda mumpe urais wa JF, hapo vipi ? si unamfaaa?

kumbe ushindi kwa UBAVU!!!!?, tumeelewa....................!!!!!!!!!!!!!!!; see you 2015.
 
Haya ni mawazo mgando, yalishagandishwa na CCM na ndiyo maana unadanganyika kiurahisi kuipigia kura CCM kwa kupewa pipi na soda eti ndo thamani ya kura yako.
 

Watanzania wote sasa wakubali Dr. Slaa ndio anastahili kuwa urais wa Tanzania. Wale mambumbumbu wachache waliompigia kura JK wanajuta kwani nini hawakumpigia kura Dr. Slaa. Wanasali wanaomba uchaguzi wa rais urudiwe ili wapate nafasi ya kumpigia kura Shujaa wa Tanzania Dr. Slaa. Nchi yote imetikisika kwa kazi kubwa aliyoifanya Dr. Slaa na chama cha CHADEMA. Hata wewe unakubaliana na mimi. Ila unajikaza tu!! Na kwa taarifa yako hapa Dar peke yake Dr. Slaa anawafuasi wanaokaribia 60%. Wafuasi wake tuko stand by. Tunasubiri atoe tamko tu tuingie mtaani halafu uone kama kuna mtu atakaa huko ikulu
 

Yes haongezi kitu mana hachangamani na mafisadi.

pia nawe unatakiwa ubadilike,hujui haki zako ndio sababu unashabikia upuuzi na uchakachuaji.

Kumbuka CCM maana yake ni CHAKA CHUA MATOKEO
 
Kumbe ndio kazi ya rais hiyo! Kuwa mbayumbayu! Si ajabu urais kuwa na ubia.
 
Hv we GeniusBrain... kila post unayo tuma watu wana criticise hujisikii aibu, halafu acha mizaha humu ndani watu tupo kwa ajilli ya kuelimishana.... pumbafu mkubwaa

Hv we GeniusBrain ( LABEIKA )... kila post unayo tuma (WEWE HUPENDI ?) watu wana criticise ( UNATAKA NIKUBALI UPUUZI WENU MNAO WEKA ?) hujisikii aibu (HAKUNA AIBU KWENYE KUSEMA UKWELI ) , halafu acha mizaha ( NIKO SERIOUS) humu ndani watu tupo kwa ajilli ya kuelimishana ( NA MIE NAWAELIMISHA) .... pumbafu mkubwaa (MWENYEWE NA WENZAKO )
 
Yes haongezi kitu mana hachangamani na mafisadi.

pia nawe unatakiwa ubadilike,hujui haki zako ndio sababu unashabikia upuuzi na uchakachuaji.

Kumbuka CCM maana yake ni CHAKA CHUA MATOKEO

Yes haongezi kitu mana hachangamani na mafisadi ( FISADI NI KUPORA MKE WA MTU, YEYE HAJAPORA ?)
pia nawe unatakiwa ubadilike (SEHEMU GANI?) ,hujui haki zako (ZIPI HEBU ZITAJE) ndio sababu unashabikia upuuzi (TUNASEMA UKWELI )na uchakachuaji (HEBU SEMA ZINACHAKACHULIWA VIPI )
Kumbuka CCM maana yake ni CHAKA CHUA MATOKEO ( NI CHAMA CHA MAPINDUZI)
 
Kumbe ndio kazi ya rais hiyo! Kuwa mbayumbayu! Si ajabu urais kuwa na ubia.

Kumbe ndio kazi ya rais (SOMA KWENYE KATIBA KAZI ZA RAIS ) hiyo! Kuwa mbayumbayu (HUYO SI NDEGE NDIO JINA LAKO JIPYA NINI, HEBU TUAMBIE )! Si ajabu urais kuwa na ubia ( HAMNA LETU ACHENI HIYANA )
 
Haisaidii anaona aibu kujitokeza mbele ya watu, atawaambia nn wana CHADEMA ambao aliwahakikishia ushindi na hakuupata ? . Kwa hiyo sinto shangaa sana kwa yeye kujitokeza kwani zama zake zimeisha ni aibu yakushindwa ndio inayo muhukumu.

Akili ya kunguru hiyo. I think you guy have a bird type of brain, parabolic shaped. You do things without thinking that's why you do not even know how to build your points. Generally, you are writing b********t!!!
 

Watanzania wote sasa wakubali (SIO KWELI NI WW TU ) Dr. Slaa ndio anastahili ( HAKUPATA RIDHAA YA WENGI ) kuwa urais wa Tanzania. Wale mambumbumbu wachache (WEWE MBONA NDIO MBUMBUMBU) waliompigia kura JK ( NI WATU MAKINI ) wanajuta (HA HA HA ) kwani nini hawakumpigia kura Dr. Slaa (AMESHINDWA AKAPUMZIKE ). Wanasali wanaomba uchaguzi wa rais urudiwe (HAKUNA KITU KAMA HICHO) ili wapate nafasi ya kumpigia kura Shujaa (NI WA CHADEMA ) wa Tanzania Dr. Slaa. Nchi yote imetikisika (MBONA KWETU HAIKUWA HIVYO) kwa kazi kubwa (AMESHINDWA UCHAGUZI) aliyoifanya Dr. Slaa na chama cha CHADEMA( CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO) . Hata wewe (SIMOOOO) unakubaliana (HAPANA ) na mimi. Ila unajikaza (NITAWEZAJE KUJIKAZA PEKE YANGU?) tu!! Na kwa taarifa yako hapa Dar peke yake Dr. Slaa anawafuasi wanaokaribia 60% (MBONA WAMESHINDWA KUMPA URAIS ANALIA TU SASA). Wafuasi wake tuko stand by (JARIBU TUKUSULUBU) . Tunasubiri atoe tamko (HANA MAMLAKA ) tu tuingie mtaani (JARIBU UONE ) halafu uone kama kuna mtu atakaa huko ikulu (MAHALI PATAKATIFU HAINGII MTU KM SLAA)
 

ushapata jibu lako funga thread
 
alaah!! kumbe JK anajiapisha kesho!! good news!!:sad:
 
Dk. Slaa kuhudhuria itafanana na JMK aliyewashtaki Mramba and co. Halafu akaenda kuwaombea kura. That will be hypocrisy! Asiende tu afanye mambo mengine ya msingi. Nasikitika tumepoteza pesa nyingi na ilhali hakukuwa na haja ya kufanya uchaguzi wa rais. Bora pesa hizo zingenunua ambulance kwa ajili ya wake zetu na JMK akabakia tu ikulu kidikteta mpaka 2015
 
Hasiyependa JK awe rais ajuwe kwamba Tz tumejaaliwa kuwa na kamba na miti madhubuti inayoweza kuhimili kilo kadhaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…