Kudadeki
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 859
- 52
sio kosa lako bali ni upeo wako mdogo wa kufikiria sababu ulizaliwa MWANANYAMALA kwenye foleni
Na wewe mwenye upeo mkubwa wa kufikiria ulizaliwa wapi vile? Kwenye "nolinoli"? Teh teh teh!!!!!
Mshapigwa mabao, :tape: mdomo wako na endelea kuuguza maumivu ya moyo!!! Teh teh teh!!!!
By the way, kule jimbo la Hai watakuwa na sherehe ya kumuapisha Silaa kuwa Rais wa JMT! Je wewe utahudhuria? Teh teh teh!!!!!