Kusema kweli hotuba ilitulia kweli kweli, nafikiri kama alivosema Comrade Mnyika, vijana tuna jukumu kubwa la kuleta mabadiliko nchini mwetu, nafikiri watu wenye kubeza nguvu ya Dr. Slaa kushinda huu ucchaguzi they are wrong, if not basi upeo wao mdogo sana.
Personally i believe in chronological events, geologist yoyote yule atakubali, the past is the key to the future, so CCM na roots zake, na uozo wake does tell Watanzania kuwa ushindi wa Dr. Slaa ni mapungufu yao wenyewe ambayo wamezongwa nayo au kushindwa kwao kwenye responsible and accountable leadership ndio silaha yetu kwenye ushindi wa CDM.
Am so sure kuwa kama hawezi kukubali kuwa the whole 5yrs under their incumbent they had a failure and this will bring a decline and bring the end of CCM kama sio collapse, they better believe so sisi tunasonga mbele na nchi yetu tajiri ya resources za kutosha.