Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Nimeppokea habari kutoka Shinyanga sasa hivi, Dr Slaa anahutubia mkutano mkubwa mjini Shinyanga.
Dondoo ni kwamba, Watu ni wengi sana hadi spika hazitoshi kutoa sauti kuwafikia wengine walio mbali na Jukwaa kuu.
Saa ya ukombozi imefika tushirikiane sote kuikomboa nchi yetu
Nimeppokea habari kutoka Shinyanga sasa hivi, Dr Slaa anahutubia mkutano mkubwa mjini Shinyanga.
Dondoo ni kwamba, Watu ni wengi sana hadi spika hazitoshi kutoa sauti kuwafikia wengine walio mbali na Jukwaa kuu.
Saa ya ukombozi imefika tushirikiane sote kuikomboa nchi yetu
Mkuu hata mimi nimepewa taarifa sasa hivi kwamba mkutano unafanyikia kwenye viwanja vya Lubaga Joshoni watu ni wengi haijapata kutokea! Watu wamejaa mpaka soko jipya Lubaga. Watu mpaka wa vijiji vya jirani na Manispaa ya Shinyanga wamekuja kwenye mkutano huo. Yaani naambiwa kwamba watu wameanza kuingia uwanjani tangu saa 5 asubuhi ilhali wakijua mkutano unaanza saa 10 alasri. Huu ni mwanzo tu kiama ni hapo tarehe 31/10/2010 mafisadi watakapong'olewa madarakani. Sasa naanza kuamini kuwa CCM hawashindi hata kwa 30% labda waibe kura.
Ila bado ninajiuliza, kama kweli wingi wa mahudhurio mikutano ya kampeni ni kipimo cha wingi wa kura basi mwaka huu ni hatari. Watu wahamasishwe kama wanachukua masaa mawili kumsikiliza Slaa na wabunge na madiwani wake, basi watumie masaa 8 kupiga kura ili kumuunga mkono. Na ni once in five years, mabadilio ya kweli yatokee.
Wana-CCM waliokichoka chama hicho ni wengi na wengi wamemchoka kiongozi wao. Niliwahi kumuuliza swali la kizushi mbunge mmoja kijana wa CCM juu ya serikali yao naye akajibu kuwa hajui ushauri wa kijuha jmk anaupata wapi. Hapo ilikuwa ilikuwa mwaka 2006, mwaka mmoja baada ya msanii kuingia ikulu. Sitashangaa kuona wagombea ubunge wa ccm wakijipigia kura wenyewe na kumchagua rais wa upinzani.huyu Dr.Slaa bana ananipa raha sama..Mimi ni CCM damu lakini aaaagh kama noma na iwe noma mi nampigie kura Dr.Slaa kama kunishugulikia nishugulikieni bana
when god is with us who can be against us?
When God is with us who can be against us?