Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Nimeppokea habari kutoka Shinyanga sasa hivi, Dr Slaa anahutubia mkutano mkubwa mjini Shinyanga.
Dondoo ni kwamba, Watu ni wengi sana hadi spika hazitoshi kutoa sauti kuwafikia wengine walio mbali na Jukwaa kuu.
Saa ya ukombozi imefika tushirikiane sote kuikomboa nchi yetu

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, aakiwahutubia maelefu ya wakazi wa mji wa Shinyanga na vitongoji vyake, katika mkutano wake wa kampeni jana. (Picha zote na Joseph Senga)