Elections 2010 Dr. Slaa anguruma BBC redioni: Nimeshinda Uraisi kwa kura milioni 15...

HUYU JAMAA ALIYEPOSTII HII HABARI NI MBWA ANATAKA KUTUPA MOTO WANACHADEMA NA ANACHOCHEA FUJO , WE MBWA UMETUMWA NA DADA YAKO KINANA AU, HAYA TOKA HUMU NDANI UKANYONYE KWA MAMA , SHETANI WE:smile-big:

:confused2::nono::blah::blah::blah:
 
Hapa cha kufanya ni kwenda mahakamani kuiomba isitishe utangazaji wa matokeo.Kwa katiba yetu hii kama huyo mwizi akitangazwa mshindi hakuna chombo chenye uwezo kisheria kuhoji.
 

asante lenana, hata mi nimesikia bbc sijasikia kuhusu hiyo mil 15, wahabarishaji, tafadhali zingatieni ukweli wa taarifa zetu, acheni kupika pika story, kama huna cha kuripoti chuna tu soma ripoti za wenzako
 
JIMBO LA MONDULI INAKUWAJE? kikwete ana kura nyingi zaidi ya slaa na lowassa???

Katika Jimbo la Monduli

Edward Lowassa CCM 3236
Molel Aman Chadema 2358


Lakini Uchaguzi wa Rais

Kikwete CCm 27198
Wilbroad Slaa 5446

Wapi Kikwete kapata kura zaidi ya lowassa ina maana walichagua rais kuliko mbunge?​
 

Umesema yote mkuu... watanzania tutafakari kisha tuchukue hatua ya kuwang'oa hawa madhalimu ...
 
mh, haya nayo makubwa, ivi mtu unadanganya humu jf ili upate nini?
 
Jamani Jamani I smell uchochezi na fitna kwenye hii Topic!!:doh:
 

Siamini kama Dr Slaa ni bure kiasi cha kusema kitu kama hiki....yaani watanzania wote wamepigia kura yeye?
 

Hapo umenena ndugu yangu. Wote wanaoisupport CCM wana matatizo ya akili na upeo wa kuelewa. Hawajui ni kwanini Tanzania ni nchi masikini mpaka leo pamoja na kuwa na natural resources za kila namna. Wanashangilia kushibisha matumbo yao leo lakini hawaangalii watoto wetu tutawaachia urithi gani katika nchi hii.

Tiba
 
Mimi nauliza hivi kuna balozi zipo Tanzania kweli?? Hawa watu wanasubiri watu waanze vurugu ndio waanze kuongea au hawaoni ni nini kinaendelea Tz. mimi nashindwa kabisa kuelewa?? Wanasubiri watu waende The Hague au ni aje?

Intarahamwe - Rwanda + mende formula.
 
Watanzania waliopiga kura mwaka huu hawafiki hata milioni 15, ina maana kura zote kazoa yeye tu. Kweli wanasiasa wetu hawako makini!

acheni kumtungia uongo SLAA ili watu wamtukane. kama kweli SLAA amesema amepata kura elfu 15 lazima awe na KICHAA tumkamate tumpeleke pale milembe dodoma. watu waliopiga kura ni asilimia 40 kati ya watu milion 19 ambayo itakua jumla ya watu kama milion 7.6, haya hizo elfu 7.4 amezitoa wapi. nayeye anajua TANGA, LINDI, MTWARA, TABORA, ZANZIBAR hawapendi watampaje kura zao?
 
mimi nauliza hivi kuna balozi zipo tanzania kweli?? Hawa watu wanasubiri watu waanze vurugu ndio waanze kuongea au hawaoni ni nini kinaendelea tz. Mimi nashindwa kabisa kuelewa?? Wanasubiri watu waende the hague au ni aje?

sasa wewe unyetegemea mabalozi kwa mabo ya ndani ya tanzania unatofauti gani na jk nayetegemea wafadhili kumaliza umaskini wa tanzania na watanzania? It cna be done play your part. Je uliojitokeza kuwa wakala ua kusimamia uchaguzi kwa niaba ya chadema?
 

rutashubanyuma wewe ni mmoja wa wachagiaji wanaoheshimika sana hapa jf, can you respond on this?
 

good tunataka watafiti kama wewe, hebu tupatie hiyo source tuanze kufuatilia. Sio wengine wanalalama tu.
 
Bwana Rutashubanyuma, Naungana na wewe kwa kusema hivi umeifanya hoja yako nzito kuwa laini. Tusipate shida kidogo bali tupate shida kubwa ili Tanzania ya kesho iwe bora kuliko ya leo. Ni vyema yatokee matatizo makubwa lakini haki itendeke ili watoto wetu kesho watuenzi kwa kukataa ubeberu wa ccm. Dkt Slaa asonge mbele na kuwashughulikia hao wezi wa kura. Kama wanaiba kura hata sisi watatuiba na kutumaliza ni bora tuumie sasa yaishe tuachane na kikwete and company for good.
 

rugemeleza naamini wewe ni mwanasheria nilisikia kuwa matokeo ya urais hayawezi kupingwa mahakamani. Je ni kweli? Kama n i kweli mashataka hayo yafunguliwe mahakama ipi na kwa utaratibu upi
?
 
Kumbuka ni kweli watanzania hawajui ni kwanini tanzania maskini kwa sababu raisi wao anayetaka kuingia madarakani kwa awamu yapili aliwahi kuwaambia waandishi wa habari wa vyombo vya nje mara tu alipoingia madarakani kwamba hata yeye hajui ni kwanini watanzania ni maskini. Umaskini wetu unatokana na woga wetu wa kujaribu leo hii watanzania wamejaribu na kuona inawezekana kwa kuchagua mabadiliko. Tumalizie kazi hiyo ili watu wetu wapate nyumba bora (badala ya kutumia posters the handsome boy kama mapazia ya vibanda vyetu vya nyasi), elimu yenye viwango, na tuweze kuvaa viatu kama wao na watoto wao wanavyofanya. Tukatee kuwarudisha mafisa katika uongozi wa nchi. :sad:
 

nakubalina na wewe mkandala kwa 100% kuchukuliwa hatua ili kukomesha wizi wa kura usijitokeze tena in future elections. Na hatua hizo ndo hizi ambazo d slaa ameanza kuchukua 1) kupinga rasmi kwa tume yenyewe, ten ndio kuja kwa wananchi. Wengi wlikuwa wakijiuliza kuwa dr slaa atafanya nini baada ya uchaguzi wa 2010 wakati yeye sio mbunge. Nadhani sasa waliokuwa wakiuliza maswali hayo wanagundua kuwa ipo kazi kubwa inayotakiwa kufanywa kutengeneza "level playing field" katika chuguzi zetu; na kazi hiyo hakuna mwingine yeyote anayeweza kuifanya kama sio dr slaa mwenyewe.

waangalizi wa kimataifa na wa ndani wote wametoa tahadhari kuhsu tume ya uchaguzi kutokuwa huru, that is enough reason ya kuchukua hatua za kufaa. Lakini tume ya uchaguzi inapatikana kwa mujibu wa katiba, hivyo katiba yetu inatakiwa pia kuandikwa upya ili kuendana na mabadiliko ya kijamii. Kiuchumi na kiutamaduni yaliyotokea ndani ya jamii yetu kutokea mwaka 1984 ilipofanyiwa mabadiliko ya mwisho makubwa.

Ipo uwezekano kambi ya upinzani katika la jmahuri ya muungano wa tanzania kutokana na chama cha cuf chenye viti 24 ambavyo 22 ni kutoka katika nchi inayoitwa zanzibar kwa mujibu wa katiba yake. Huu ni utata wa kikatiba na sababu ingine ya kushinikiza marekebisho ya katiba.

Swali la kila mmoja wetu kujiuliza ata/utafanya nini kuleta mabadiliko ya katiba na tume huru ya uchaguzi?

Akijibu swali kuhus haja ya kubadili katiba katika mdahalo na vyombo vya habari kabala ya uchaguzi rais kikwete alisema itakapojitokeza haja ya katiba itafanyiwa mabadiliko. Kwa kuwa sisi sote ni watanzania mmoja moja na kwa pamoja tutafanya nini ili katiba ifanyiwe mabadiliko yanayohitajika?
 
Mfa maji always haishi kutapatapa!!!, haya yote ni aibu imemfika Slaa wenu, mlimpa matumaini hewa!, mtakufa kwa roho zenu za chuki, chukieni sana but wananchi washasema through ballot papers! poleni sana
 
uchakachuaji unafanyika kwa njia nyingi sana daaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…