MIMI ITAKUWA YA PILI, mpaka sasa anakura mbili hata kama hatajipigia.
Mi pia nitampa kura Dr Slaa, Na mbunge na diwani wake.Mtu makini na mwenye kuona mbali kama mimi ni lazima apige kura ya mabadiliko na sio ya mazoea.Msiipigie CCM,maisha yatakua magumu kuliko miaka g iliyopita.ChaguaCHADEMA
BulletHivi ni tafiti ngapi zimefanyika? Mbona REDET ndio imepewa uzito? Au kwa sababu CCM imeonyesha kushinda? Mbona opinion polls za magazeti mbali mbali ambazo zinaonyesha sura tofauti na REDET hazipewi uzito? Kumbuka wanaotoa maoni yao magazetini na mitandaoni wanasukumwa na nia zao kupiga kura si kama hao wa REDET wanaowafuta wale tu wanowahitaji. Mfano katika kipindi cha Tuongee Habari, leo asubuhi katika Star TV, mtu mmoja amepiga simu na kusema kuwa mtu wa kawaida kijijini ni vigumu kuulizwa anampenda rais gani akasema kinyume cha kumpendelea wa kutoka CCM ili asionekane mpinzani maana wanahisi kila mtu anayehoji ni Usalama wa taifa.
SI KWASABABU WANAONGOZWA NA MWANAMIPASHO (JK).. We unategemea nini hapo....!??wewe hukuona jamaa wa REDET kuyatangaza alisema najua mtasema sana lakini habari ndio hiyo. huoni kama ile Tafiti imekaa kiumbea umbea!!
Bullet
nilazima ujue kutofautisha tafiti za kisayansi na polls za media, hivi unajua ni watanzania wangapi wanaishi vijijini na hawana access na hizo media polls, ni aibu mkuu.
Ukipita maeneo ya mijini na kuhoji watu hasa wasomi asilimia kubwa watakuambia wanataka upinzani, lakini je niasilimia ngapi kulinganisha na wa vijijini ambao wao CCM ni kila kitu,
Nguvu ya CCM ipo vijijini ambapo watu wakiamua wanaamua kweli na ndio maana hata hao wapinzani sehemu walizoshinda nyingi ni vijijini maana ukiwaelimisha wanakuelewa kweli na si kama mijini ambapo wapinzani wamepatolea macho na wanashindwa kupata majimbo mengi mijini.
REDET ni mojawapo ya MASHINE ZA KUPUMULIA za CCM. Mashine za kwanza walizochomeka ziliisha chaji. Ama watahaha kwa aibu mwaka huu. Halo halo!!!!!
Kura yangu, ya mke wangu, nyumba ndogo zangu kadhaa, na wakwe zangu, shemeji zangu na wanangu zote zitaenda kwa DR. SLAA; ndoo mtajua hamna chenu mwaka huu.
Nilikua nasikiliza taarifa asubuhi hii kutoka Radio Free Africa, nimeshtushwa na taarifa ya mtu aliyejitambulisha kua ni mkurugenzi wa taasisi inayojishughulisha na utafiti (CACT) kama wa REDET) akiipinga report ya REDET kwa kusema taasisi yao nayo inaendelea na utafiti huo kwa njia mbalimbali, sms, emails, kuhoji moja kwa moja, etc nchi nzima.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo hadi sasa Dr. Slaa anaongoza kwa 73%, JK 12% na Lipumba 9%. Kwa mujibu wa mkurugenzi huyo anapinga kitendo cha REDET kuchagua baadhi ya mikoa na kuacha mikoa mingine especially kanda ya Ziwa ambako ndio kuna wapiga kura wengi na anapinga report yenye only 2600 samples.
Siifahamu kampuni hii (CACT), wanaJF mwenye taarifa zaidi atuhabarishe
Hakuna anayetegemea wale waliopata asilimia ndogo katika utafiti huo wakae kimya!Imani yao na utafiti uliofanywa vinakuwa ni vitu visivyowiana.
Kwa wale walipewa aslimia kubwa hiyo ni ishara ya ushindi kwao.Kama tafiti haziaminiki hakuna haja ya kupiga kelele kwa sababu mwisho wa yote ni sanduku la kura.
HA HA HA HA HA HA HAAA!!! nikumbushe ile hospital alolazwa mwl.nyerere. thats where CCM spend their last time.
in other words a sample can be named as not representing/reflecting population. this is a result of sampling error.
mfano kama unaenda kureserarch on watu ambao wana maradhi ya kansa na ukaenda hospital ya ocean road kila mgonjwa ukawa unamhoji sitashangaa kuona kwamba unaconclude kwamba asilimia 90 ya watanzania wanayo kansa. Huu utakuwa ni utapeli, ukilaza usikuwa na mfano.
Nadhani hii tafiti inayomptisha Dr. Slaa ndiyo ya kweli!!! tuamini hii mpaka baada ya uchaguzi!!!
Mod itabidi uwe na kazi ya ziada kufuta threads zenye mauza uza baada ya uchaguzi natabiri waTanzania wata-tuprove wrong.
Made in Tanzania:
---> Tanzania anayesikilizwa ni mwenye umbea na uzandiki sio mwenye kufanya tafti na kuwa na takwimu!!!
Bullet
nilazima ujue kutofautisha tafiti za kisayansi na polls za media, hivi unajua ni watanzania wangapi wanaishi vijijini na hawana access na hizo media polls, ni aibu mkuu
Ukipita maeneo ya mijini na kuhoji watu hasa wasomi asilimia kubwa watakuambia wanataka upinzani, lakini je niasilimia ngapi kulinganisha na wa vijijini ambao wao CCM ni kila kitu,
Upinzania wanashindwa kuelewa nguvu ya CCM ipo wapi ili hali wanajua fika, Nguvu ya CCM ipo vijijini ambapo watu wakiamua wanaamua kweli na ndio maana hata hao wapinzani sehemu walizo shinda nyingi ni vijijini maana ukiwaelimisha wanakuelewa kweli na si kama mijini ambapo wapinzani wamepatolea macho na wanashindwa kupata majimbo mengi mijini.
Hivyo basi polls za media hazina ukweli wowote kitaalamu maana unaweza kuvote hata mara 100 ukiweza
Na kila chaguzi mambo huwa hivi hivi, kauli za watz waleo sio wa jana, wameamka nk. lakini mwisho wa siku matokeo ya tafiti kama za REDET ndio yanayotoa picha halisi ya matokeo ya uchaguzi