Kama wewe huna cha kusema wengine tutasema,
mwambie Dr. Slaa kama amesema hivyo amefulia, Sofia Simba hajiuzulu, wala JK hamfanyi chochote! wala serikali haijapata aibu, walichopitia miaka hii minne kama ingekuwa serikali ya ibu tungeijua! mwambie slaa mshipa wa aibu serikali ya JK haina!!
Yeye Slaa aangalie kuiondoa CCM na sio kujificha chini ya JK, anaposema hivyo ina maana JK ni safi, poa, mchapa kazi n.k
Sofia Simba ameonyesha uwezo wa CCM, Slaa badala ya kuchukua kama point ya kupatia kura anataka kujikomba! aache kujikomba kwa JK; kutaja jina la JK kuwawajibisha mawaziri aliowateua ni ujinga!!! mna hakika gani kama hakupitia huko state house na vyombo vya usalama kupata ushauri? kwani hawana sheria zao kuwa kabla ya mswada upitiwe? SS hana tatizo baba! ni sanamu robot lingine next to JK akiambiwa simama anasimama
nani kawaroga jamani?? JK has nothing to do in this country, JK alitaka ujiko tu wa urais hana analoliweza na hakuna atakaloliweza achilia mbali kumuwajibisha SS!!
Huyo slaa naye kama amesema hivyo ajiuzulu upinzani; I am sick and tired mentioning the name of JK as if he is innocent!
wapinzani my foot! JK akimchukulia hatua Sofia Simba si ndio anapata kura yeye! halau mnasema kuna upinzani 'nji' hii
Wapinzani wa Tanzania ukiwasikiliza sana unaweza ukaugua ukichaa, wapole, wanajikomba, statement zao sio za kipinzani, they dont take opportunity, yaani wapinzani nchi hii ni kama mabaraza ya wazee wa CCM!! au tume fulani za bunge!
Well, Slaa should have said something . This is his stand kama mpinzani, angalau pale mswada umepingwa hata na CCM wenyewe.
He could have a different stand and perhaps use it as opposition stick if the same could have gone through the perliament.
Kama aliupitisha kwenye sehemu husika zikiwemo Security na baraza la Mawaziri nao wakaukubali, then were are borne to suffer more and more and forever until we uproot this pumkin CCm from the reign. Bora hata wangeuleta kwanza hapa Jf kablaya kuleta aibu kama hiyo. Tungewasidia zaidi. Great Thinkers.
Doctor Slaa amemtaka Sofia Simba ajiuzulu na asipofanya hivyo awajibishwe na Rais kwa kuitia serikali aibu kwa kuleta mbele ya Bunge mswada usio na mashiko. Sofia Simba anataka kumpunguzia Amiri Jeshi Mkuu madaraka. Je hili litafanyika ? Na kwa nini lisifanyike? Does this amount to insurbordination ? Kwa nini Sofia hakuseek advise from the state house, security Organs, etc kabla hajaleta unproffesiopnal bill bungeni? Au anafikiri security issues ni mchiriku, rusha roho au mipasho ya akina Pembe la Ngombe? Wakuu mnasemaje ?
Kama wewe huna cha kusema wengine tutasema,
mwambie Dr. Slaa kama amesema hivyo amefulia, Sofia Simba hajiuzulu, wala JK hamfanyi chochote! wala serikali haijapata aibu, walichopitia miaka hii minne kama ingekuwa serikali ya ibu tungeijua! mwambie slaa mshipa wa aibu serikali ya JK haina!!
Yeye Slaa aangalie kuiondoa CCM na sio kujificha chini ya JK, anaposema hivyo ina maana JK ni safi, poa, mchapa kazi n.k
Sofia Simba ameonyesha uwezo wa CCM, Slaa badala ya kuchukua kama point ya kupatia kura anataka kujikomba! aache kujikomba kwa JK; kutaja jina la JK kuwawajibisha mawaziri aliowateua ni ujinga!!! mna hakika gani kama hakupitia huko state house na vyombo vya usalama kupata ushauri? kwani hawana sheria zao kuwa kabla ya mswada upitiwe? SS hana tatizo baba! ni sanamu robot lingine next to JK akiambiwa simama anasimama
nani kawaroga jamani?? JK has nothing to do in this country, JK alitaka ujiko tu wa urais hana analoliweza na hakuna atakaloliweza achilia mbali kumuwajibisha SS!!
Huyo slaa naye kama amesema hivyo ajiuzulu upinzani; I am sick and tired mentioning the name of JK as if he is innocent!
wapinzani my foot! JK akimchukulia hatua Sofia Simba si ndio anapata kura yeye! halafu mnasema kuna upinzani 'nji' hii
Wapinzani wa Tanzania ukiwasikiliza sana unaweza ukaugua ukichaa, wapole, wanajikomba, statement zao sio za kipinzani, they dont take opportunity, yaani wapinzani nchi hii ni kama mabaraza ya wazee wa CCM!! au tume fulani za bunge!
I totally agree with you! Tunataka kuona upinzani wa kweli ambapo kila kosa la kiongozi wa CCM linakuwa 'mtaji' wenye manufaa kwa the opposition. Hakuna lolote la maana wanalofanya haw wanaojiita ni wapinzani wa Chama tawala!Wapinzani wa Tanzania ukiwasikiliza sana unaweza ukaugua ukichaa, wapole, wanajikomba, statement zao sio za kipinzani, they dont take opportunity, yaani wapinzani nchi hii ni kama mabaraza ya wazee wa CCM!! au tume fulani za bunge!