OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ukawa waliopo bungeni ni leticia nyerere, hamad rashid mohamed, said arf, na john shibuda
The ideal of free human beings enjoying civil and political freedom.Wakuu Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa angalizo hilo kwa mbunge wake atakeenda bungeni kusaliti wananchi.Hii imeripotiwa magazetini asubui.Pia imeripotiwa wabunge wa Ukawa wamerejea bungeni,huu ni upotoshaji,mbunge aliyerejea ni mmoja tu sio kama CCM wanavyopotosha
wako wabunge wengi wanataman kurejea ila unafiki na kutojiamini vinawasumbua
wako wabunge wengi wanataman kurejea ila unafiki na kutojiamini vinawasumbua
Wanalinda heshima yao kwa wananchi na huo ni ushujaa wa hali ya juu kuamua kuacha posho na kukaa nje ili sauti ya nguvu ya umma isikike kupitia wananchi.
watanzania wamechoka na ujinga wa ukawa
heshima ya ujinga.. ukawa ni ujinga
Ahmad Rashid na zzk,hao ni wabunge wa mahakama hawapo Ukawa,aliyepo Ukawa ni Leticia Nyerere ambaye tayari mh Halima Mdee alishamuonya juu ya undumila kuwili wake kwa ccm,na Shibuda ni Mbunge wa ccm kupitia chadema