chadema inaendekeza utawala wa kibabe na kimabavu, chadema ni chama cha kidikteta,, leticia ni haki yake kikatiba kwenda bungeni,, babu slaa atuonyeshe katiba ya ukawa inayokataza wasiende bungen
Ukawa waliopo bungeni ni leticia nyerere, hamad rashid mohamed, said arf, na john shibuda
Daah...leo umejitahidi kuponda na kueneza propaganda juu ya Ukawa. Tunakuongezea posho, badala ya bk7 tutakupa buku 10. Keep it up...
By Lumumba staff.
Kisheria hakuna kitu ambacho Dr Slaa anaweza kuwafanya wasaliti wa UKAWA kwa sababu wajumbe wa BMK wamechaguliwa na Raisi japo sifa yao kuwa ni kuwa wabunge wa bunge la JMT. Kisiasa Dr Slaa au viongozi wa vyama vinavyound UKAWA wanaweza kuwachukulia hatua wabunge wao wanaosaliti UKAWA. Sisi wazalendo tunaomba wana UKAWA wasisalitiane kwa njaa ya muda mfupi. Ni lazima wakomae hivyo hivyo!
chadema inaendekeza utawala wa kibabe na kimabavu, chadema ni chama cha kidikteta,, leticia ni haki yake kikatiba kwenda bungeni,, babu slaa atuonyeshe katiba ya ukawa inayokataza wasiende bungen
Wakuu Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa angalizo hilo kwa mbunge wake atakeenda bungeni kusaliti wananchi.Hii imeripotiwa magazetini asubui.Pia imeripotiwa wabunge wa Ukawa wamerejea bungeni,huu ni upotoshaji,mbunge aliyerejea ni mmoja tu sio kama CCM wanavyopotosha
Ukawa vipande vipande
WABUNGE WA UKAWA WAANZA KUREJEA BUNGENI, LETISIA NYERERE WA CHADEMA AHUDHURIA VIKAO
Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere (CHADEMA) ajisajili leo katika Bunge Maalum la Katiba
Chanzo.tarifa ya habari ya ITV leo
****************************** *******************
By Alexandry Nemesi
Mbunge wa Viti maalum kupitia CHADEMA Mh.Leticia Nyerere kwa mujibu wa ITV habari usiku huu ameonyeshwa na amesaini kitabu cha Mahudhurio ndani ya Bunge maalum La Katiba ikiwa ni kinyume na Msimamo wa CHADEMA kwa wajumbe wake kutohudhuria vikao hvyo.
Ni dhahiri sasa Leticia ameonyesha sura yake halisi kutokana na matendo yake ndani ya Chama kwa kutoheshimu maamuzi ya Vikao halali vya chama.
Ni wakati sasa wa Chama kumchukulia hatua kali za kinidhamu ikiwemo kuvuliwa uanachama.
By ifweero
Mbunge wa viti maalum chadema na mujumbe wa bunge maalum la katiba ( mjumbe wa ukawa) amerudi bungeni kuendelea na vikao vya bunge maalum tupate katiba mpya. Hongera sana leticia. Taifa kwanza, vyama baadae
source: itv habari
Mwambie slaa kitanda alichokitandika lazima atakitandua mwaka huu mwambie pia aje dodma atamkuta arfi,leticia na shibuda.
kweli kabisa. wako wengi sana wanachukizwa na ujinga wa ukawa lakini wafanyeje sasa wataitwa wasaliti
Hao wote si wabunge wakutetea wananchi,tena si wanaukawa tokea mwanzo,Leticia nyerere ni mchumia tumbo ambaye tayari alishajulikana tangu mwanzo,na chadema walijua atahudhuria tu,kwahiyo magazeti ya ccm yanakuza habari kwa kuandika uongo,haitawasaidia kwakuwa wanaosoma magazeti hayo ya ccm ni watu wachache sana,tena wachumia tumbo kama we we,wananchi wenye akili wanajua.
Kama ilivyo kwa wabunge wengi Wa ccm wanaotaka serikali tatu ,ila njaa ndiyo inayowapa shida,na hata hao Wa ukawa wanaotaka kurudi bungeni pia ni njaa tu inawasumbua,wala si uzalendo,swali la kujiuliza,mwana ukawa yeyote anayetaka kurudi bungeni ni mnafiki sana,maana kama hakubaliani na ukawa kwanini walipotoka bungeni naye alitokabunge LA awali ?hapo utajua njaa ndiyo tatizo.
watanzania wamechoka na ujinga wa ukawa
Upotoshaji upi unaousema wabunge wa Chadema waliorejea bungeni ni John Shibuda na Leticia Nyerere.Wakuu Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa angalizo hilo kwa mbunge wake atakeenda bungeni kusaliti wananchi.Hii imeripotiwa magazetini asubui.Pia imeripotiwa wabunge wa Ukawa wamerejea bungeni,huu ni upotoshaji,mbunge aliyerejea ni mmoja tu sio kama CCM wanavyopotosha
SISI wananchi wa tanzania hatuwahitaji ukawa..watanzania tumechoka na ujinga wa ukawa
Umechoka wew msukule. Na huyo leticia kwisha habari yake na tumbo lake limemponza. Kwanza tunatafuta number zake tumfundishe adabu cc wana nchi
Sema wew na mumeo aumkeo usitusemee cc kwakuwa umepewa vihela vyako huko lumumba ukafikiri wote tunapokea rushwa ka wew