Dr.Slaa: Atakayekiuka UKAWA tutamshughulikia

Dr.Slaa: Atakayekiuka UKAWA tutamshughulikia

chadema inaendekeza utawala wa kibabe na kimabavu, chadema ni chama cha kidikteta,, leticia ni haki yake kikatiba kwenda bungeni,, babu slaa atuonyeshe katiba ya ukawa inayokataza wasiende bungen

Ccm ni chama cha majangili
 
Ukawa waliopo bungeni ni leticia nyerere, hamad rashid mohamed, said arf, na john shibuda

Ukawa hapo ni mmoja tu Leticia Nyerere. Kaamua kuchukua chake mapema maana hawezi hata kugombea ubunge na hivyo viti maalum hana chake. Njaa mbaya sana.
 
Kisheria hakuna kitu ambacho Dr Slaa anaweza kuwafanya wasaliti wa UKAWA kwa sababu wajumbe wa BMK wamechaguliwa na Raisi japo sifa yao kuwa ni kuwa wabunge wa bunge la JMT. Kisiasa Dr Slaa au viongozi wa vyama vinavyound UKAWA wanaweza kuwachukulia hatua wabunge wao wanaosaliti UKAWA. Sisi wazalendo tunaomba wana UKAWA wasisalitiane kwa njaa ya muda mfupi. Ni lazima wakomae hivyo hivyo!
 
Daah...leo umejitahidi kuponda na kueneza propaganda juu ya Ukawa. Tunakuongezea posho, badala ya bk7 tutakupa buku 10. Keep it up...
By Lumumba staff.

ukawa ni wasaliti wa watanzania..Watanzania wanahitaji maji, huduma nzuri za afya na maendeleo ,, ukawa wao wanataka serikali tatu ..hizo serikali tatu ndio zitaondoa umasikini? Ukawa ni wehu sana
 
Big up Lumumba staff
 
Attachments

  • 1407386998683.jpg
    1407386998683.jpg
    46.9 KB · Views: 208
Kisheria hakuna kitu ambacho Dr Slaa anaweza kuwafanya wasaliti wa UKAWA kwa sababu wajumbe wa BMK wamechaguliwa na Raisi japo sifa yao kuwa ni kuwa wabunge wa bunge la JMT. Kisiasa Dr Slaa au viongozi wa vyama vinavyound UKAWA wanaweza kuwachukulia hatua wabunge wao wanaosaliti UKAWA. Sisi wazalendo tunaomba wana UKAWA wasisalitiane kwa njaa ya muda mfupi. Ni lazima wakomae hivyo hivyo!

SISI wananchi wa tanzania hatuwahitaji ukawa..watanzania tumechoka na ujinga wa ukawa
 
Mwambie slaa kitanda alichokitandika lazima atakitandua mwaka huu mwambie pia aje dodma atamkuta arfi,leticia na shibuda.
 
chadema inaendekeza utawala wa kibabe na kimabavu, chadema ni chama cha kidikteta,, leticia ni haki yake kikatiba kwenda bungeni,, babu slaa atuonyeshe katiba ya ukawa inayokataza wasiende bungen

Umekosea, sio kila katazo ni lazima msingi wake uwe Katiba. Makubaliano yoyote hata kama hayajaandikwa ni Mkataba halali na unaweza kutumiwa na wahusika kama msingi wa maamuzi. japokuwa hawana Katiba UKAWA wapo sahihi kusimamia wanachokiamini! Kwa maana hiyo hata Leticia na Shibuda wanaweza kuwa sahihi kwa kujitazama wao kwa majina yao, lakini watakapolazimika kutumia vyama vyao watakuwa wamekosa uhahali na hivyo wameenda kinyume na makubaliano ya vyama vyao. Iwapo watachukuliwa hatua zozote za kinidhamu ni halali kwani wameshndwa kutii mamlaka iliyo juu yao ambayo hata wao waliiamini kuwa inaweza kufanya maamuzi kwa niaba yao! Siasa zetu zimetawaliwa na unafiki, siwezi kushangaa yanayojitokeza!
 
Wakuu Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa angalizo hilo kwa mbunge wake atakeenda bungeni kusaliti wananchi.Hii imeripotiwa magazetini asubui.Pia imeripotiwa wabunge wa Ukawa wamerejea bungeni,huu ni upotoshaji,mbunge aliyerejea ni mmoja tu sio kama CCM wanavyopotosha

Nilifikiri mgomo wa UKAWA ni wa hiari kumbe ni wa kulazimishwa kwa mtutu kuwa usipogoma utatujua CHADEMA.sasa hiyo demokrasia kwenye hicho kifupi cha CHADEMA iko wapi? Au jina la chama mmebadilisha na mmeondoa DE ya hapo katikati ya neno CHADEMA?
 
Ukawa vipande vipande
WABUNGE WA UKAWA WAANZA KUREJEA BUNGENI, LETISIA NYERERE WA CHADEMA AHUDHURIA VIKAO
Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere (CHADEMA) ajisajili leo katika Bunge Maalum la Katiba
Chanzo.tarifa ya habari ya ITV leo
****************************** *******************
By Alexandry Nemesi
Mbunge wa Viti maalum kupitia CHADEMA Mh.Leticia Nyerere kwa mujibu wa ITV habari usiku huu ameonyeshwa na amesaini kitabu cha Mahudhurio ndani ya Bunge maalum La Katiba ikiwa ni kinyume na Msimamo wa CHADEMA kwa wajumbe wake kutohudhuria vikao hvyo.
Ni dhahiri sasa Leticia ameonyesha sura yake halisi kutokana na matendo yake ndani ya Chama kwa kutoheshimu maamuzi ya Vikao halali vya chama.
Ni wakati sasa wa Chama kumchukulia hatua kali za kinidhamu ikiwemo kuvuliwa uanachama.
By ifweero
Mbunge wa viti maalum chadema na mujumbe wa bunge maalum la katiba ( mjumbe wa ukawa) amerudi bungeni kuendelea na vikao vya bunge maalum tupate katiba mpya. Hongera sana leticia. Taifa kwanza, vyama baadae
source: itv habari

Hao wote si wabunge wakutetea wananchi,tena si wanaukawa tokea mwanzo,Leticia nyerere ni mchumia tumbo ambaye tayari alishajulikana tangu mwanzo,na chadema walijua atahudhuria tu,kwahiyo magazeti ya ccm yanakuza habari kwa kuandika uongo,haitawasaidia kwakuwa wanaosoma magazeti hayo ya ccm ni watu wachache sana,tena wachumia tumbo kama we we,wananchi wenye akili wanajua.
 
kweli kabisa. wako wengi sana wanachukizwa na ujinga wa ukawa lakini wafanyeje sasa wataitwa wasaliti

Kama ilivyo kwa wabunge wengi Wa ccm wanaotaka serikali tatu ,ila njaa ndiyo inayowapa shida,na hata hao Wa ukawa wanaotaka kurudi bungeni pia ni njaa tu inawasumbua,wala si uzalendo,swali la kujiuliza,mwana ukawa yeyote anayetaka kurudi bungeni ni mnafiki sana,maana kama hakubaliani na ukawa kwanini walipotoka bungeni naye alitokabunge LA awali ?hapo utajua njaa ndiyo tatizo.
 
Hao wote si wabunge wakutetea wananchi,tena si wanaukawa tokea mwanzo,Leticia nyerere ni mchumia tumbo ambaye tayari alishajulikana tangu mwanzo,na chadema walijua atahudhuria tu,kwahiyo magazeti ya ccm yanakuza habari kwa kuandika uongo,haitawasaidia kwakuwa wanaosoma magazeti hayo ya ccm ni watu wachache sana,tena wachumia tumbo kama we we,wananchi wenye akili wanajua.

UKAWA ni watetezi wa matumbo yao. Hawana chochote wanachotetea wananchi..wameshatetea wananchi kuhusu maji , afya?
 
Kama ilivyo kwa wabunge wengi Wa ccm wanaotaka serikali tatu ,ila njaa ndiyo inayowapa shida,na hata hao Wa ukawa wanaotaka kurudi bungeni pia ni njaa tu inawasumbua,wala si uzalendo,swali la kujiuliza,mwana ukawa yeyote anayetaka kurudi bungeni ni mnafiki sana,maana kama hakubaliani na ukawa kwanini walipotoka bungeni naye alitokabunge LA awali ?hapo utajua njaa ndiyo tatizo.

sasa hivi wameshajitambua ndio maana wanarudi bungeni.. hizo serikali tatu zitawaondoleaje watanzania umasikini?
 
Wakuu Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa angalizo hilo kwa mbunge wake atakeenda bungeni kusaliti wananchi.Hii imeripotiwa magazetini asubui.Pia imeripotiwa wabunge wa Ukawa wamerejea bungeni,huu ni upotoshaji,mbunge aliyerejea ni mmoja tu sio kama CCM wanavyopotosha
Upotoshaji upi unaousema wabunge wa Chadema waliorejea bungeni ni John Shibuda na Leticia Nyerere.

Tupe basi huo ukweli, halafu Dr.Slaa ana wabunge unaposema wabunge wake watu wanakushangaa hawa wabunge wametumwa na wananchi siyo Dr.Slaa.

Naona povu linamwagika tu.
 
Kumbe shbuda letecia hao hatuna shda nao.shbuda kmwili cdm kiroho ccm letecia naye hvyo hvyo
 
Back
Top Bottom