Dr Slaa atarudi Chadema ni muda tu

Dr Slaa atarudi Chadema ni muda tu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Dr Slaa hivi karibuni amekuwa mwana harakati mkubwa sana yuko njiani kurudi kama mzee wa Chama.
 
Yes ndio ile nafasi moja ya Mjumbe ambayo Lissu ameiweka kiporo
 
Tunamhitaji Dr Slaa katika CHADEMA

Ni mpambanaji makini, ni mzalendo wa kwelikweli.

Uchaguzi wa Lissu ulete usuluhishi hata kwa wahanga wa mistake ya kumleta Lowasa CHADEMA, mtu ambaye chama kilishamuona si msafi.
 
Dr Slaa ni jembe haswa. Kati ya wanasiasa bora kabisa Tanzania. Mchango wake ni mkubwa sana kuifikisha Chadema hapa ilipo leo na kulea vipaji kama Lissu, Zitto, Kitila.

Alisaidia sana kupunguza ufisadi nchi hii kwa harakati zake kama pale Mwembeyanga.
 
Back
Top Bottom