Elections 2010 Dr. Slaa: CCM imebanwa Igunga; yajipanga kuchakachua kura


Ni kweli kwamba magamba wamezoea kuiba kura. Pamoja na njama hizo kubainika bado chadema wamefanya jambo la msingi kuwafahamisha wananchi wakati huo nao wakijiandaa kukabiliana na wizi huo.

Na kwakuwa magamba wanatumia vyombo vya dola kulazimisha ushindi ni vizuri waambiwe mapema ili wafahamu kwamba njama zao zimegundulika.
 
Huu wizi wa kura ndiyo unaliingiza taifa kwenye matatizo kwakuwa na ni chukizo kubwa sana mbele ya Mungu kwani haki zinadhulumiwa. Tukumbuke kuwa haki ikidhulumiwa taifa litazidi kuangamia
 

Mzee wa Rula, ungefanikiwa kufika Igunga sasa hivi tayari Magamba yameshashindwa Igunga na ni njia moja tu amabayo wanaweza kuitumia ambayo ni wizi wa kura basi, kule vijiji vya ng'ambo ya mto Mbutu karibu 75%-80% ya wakazi wamechoka na hawataki kabisa kusikia CCM, utamu wa maneno ni kwamba wamekuwa kama wazanzibari...wanawasikiliza lakini wakiondoka wanasema safari hii CDM tu kwani wamechoka kudanganywa
 
Hivi huwezi kutoa hoja halisi bila 'personal attacks' ambazo zinapindisha hoja na zinaanzisha msururu wa 'more and more personal attacks'?
Kukujibu ni kuwa wewe umetumwa ndo maana unaandika usiyojajua. Be independent.

Hivi nyinyi kama mnatumwa mnadhan kila mtu anatumwa hapa?.Halafu kuna watu wananilinganisha na Nape mm ni mm naitwa Twahil Majura siogopi mtu ka nyie mnaoficha majina yenu.Tujibu hoja sio mnazidiwa mnaongea pumba na hapo tutakua tunaijenga JF yetu.
 

CCM hata bila ya kuwepo upinzani wataiba tu. Wanaiba mali za uma waache kuiba kura! labda sio CCM.
 
Laurence sio KURA peke yake bali mali ya UMMA pia, km walivofanya EPA na kwingineko
 

Kaka mie sioni kwa vipi CDM wawe na inferiority complex, jimbo la kawe ambalo wanakaa viongozi karibu wote wa nchi hii pamoja na wa kimataifa limechukuliwa na CDM. Its possible kuwa hata kura kura za familia za mawaziri wa CCM zilienda upinzani. Watu wamechukua Arusha city. Mwanza City, Moshi town, Iringa towm...to mention just a few.

CDM hawawezi kuwa na inferiority complex hata kidogo, wameporomosha umaarufu feki wa CCM kwa kiwango kikubwa sana, infact CCM wanawaogopa CDM kama ukoma!!!
 
GeniusBrain,
Ni rahisi sana. Rejea kesi ya Uchaguzi (Election Petition Joseph Haymu and others vs Attorney General and Others), 2005 Corum Makaramba (Unreported). Utajua mbinu zote ya jinsi kura zinavyoibiwa. It is no longer hypothetical. It has been tested in a court of law.


Niliisha wahi kuuliza swali humu ndani ya JF na hakuna hata mmoja aliyejibu. Na nauliza tena ' KURA ZINAIBIWAJE?'
 

DR. W. Slaa,
kama mnajua mbinu zote zinazotumika kuiba kura si mdhibiti mapema na muwaonyeshe Wanachama wenu hizo mbinu wanazotumia Magamba.

Na vizuri hizo njama za kuiba kura umezijua mapema je nyie kama CDM mmechukuwa hatua gani? Au ndio mmeishakubali mmeibiwa kura kabla ya uchaguzi?
 
Ukiona mtu mzima tena ana PHD ya ucha mungu kutoka vatikan anadanganya ujue anazeeka vibaya na ndio matatizo ya kuanza mapenzi uzeeni haya.Kulalama kwa chadema na cuf ni alama tosha kuwa CCM imeisha shinda.


Hapo kwenye red twahi .This is another 'feces'
 
Kwa kuongezea kama alivyosema Dr. Slaa. Ukiachilia mbali ya ushahidi wa mahakama .Rejea pia uchaguzi wa MEYA Songea, Waziri Nchimbi alikimbia na sanduku la kura kuficha aibu yake, lakini alidhibitiwa na madiwani wa Chadema, hii ni baada ya Naibu Meya ambaye ni diwani kupitia CCM alificha kura kenye chupi. Wakati huo CDM hawakuweka mgombea wote walikuwa ni CCM. CCM wanajiibia mpaka wenyewe.
 
Don't you see a problem in this? Wewe unalalamika kuwa chadema wana visingizio, sasa ni kwa nini wewe tu ndo usingiziwe? mbona wasizingiziwe cuf? hayo ni madai tena yaweza kuwa nu ukweli... Let us wait we will see, hata wale wanaowabeba hao magamba nao itafika mahali watachoka kwani tayari mzigo ni mzito kinoma, hapo ndipo ukandamizaji utakwisha na uhuru kupatikana.............................................................
 
Wezi wenyewe si ndio wenye dola?????????? Umelala nini, na wewe ni maghamba's!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ukiona mtu mzima tena ana PHD ya ucha mungu kutoka vatikan anadanganya ujue anazeeka vibaya na ndio matatizo ya kuanza mapenzi uzeeni haya.Kulalama kwa chadema na cuf ni alama tosha kuwa CCM imeisha shinda.
Kwa maana hiyo CDM wakilalamikia wezi ni upuuzi kwako????????? Haya mwosha uoshwa ni msemo wa kiswahili huo !!!!!!!!!!!
 
Wenye uroho wa madaraka ni nani, mmetawala nchi hii miaka mingapi???????????
 
Hakuna kulala mpaka kieleweke kama Mbeya na Ilemela. majamaa ya CCM wakiona hamuondoki kituoni, wataleta polisi wenye magwanda ya FFU wakiona hamuogopi, basi huwa wanatangaza matangazo halali. Muelezeni huyo magayane kama alivyoelezwa Kabwe Ilemela, ajue yatakayomkuta kama atachakachua matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…