Elections 2010 Dr. Slaa: CCM imebanwa Igunga; yajipanga kuchakachua kura

Elections 2010 Dr. Slaa: CCM imebanwa Igunga; yajipanga kuchakachua kura

mmeanza kuleta visingizio sasa.chadema inatoa vitisho kuwa itapambana mpaka tone la mwisho, kwani tuko vitani?,tuko tayari kufia kwenye vituo vya kupigia kura,jamani hivi sinivitisho?.visingizio vya nini kama unauhakika wa kushinda?.nyie kila siku mnaibiwa na njia za wizi mnazifaham kwanini msizitumie kama mnazifaham sasa?.
Jinga wewe, nyie wote ni wezi, co cdm
 
CDM kana mnasema mtaibiwa kura kabla hata ya uchaguzi, sasa kwa nini mnaangaika kupaa na Helkopta.
Pamoja na kupeleka watu Igunga? Kwa hiyo mtachukuwa hatua gani baada ya matokeo ya uchaguzi wa Igunga kutangazwa?
 
mmeanza kuleta visingizio sasa.chadema inatoa vitisho kuwa itapambana mpaka tone la mwisho, kwani tuko vitani?,tuko tayari kufia kwenye vituo vya kupigia kura,jamani hivi sinivitisho?.visingizio vya nini kama unauhakika wa kushinda?.nyie kila siku mnaibiwa na njia za wizi mnazifaham kwanini msizitumie kama mnazifaham sasa?.

we gamba nini!..kwani hujui kuwa toka chaguzi za vyama vingi zianzae hapa TZ ccm hawajawahi kushinda kiuhalali?
 
CDM kama mnasema mtaibiwa kura kabla hata ya uchaguzi, sasa kwa nini mnaangaika kupaa na Helkopta.
Pamoja na kupeleka watu Igunga? Kwa hiyo mtachukuwa hatua gani baada ya matokeo ya uchaguzi wa Igunga kutangazwa?
 
Hivi nyinyi kama mnatumwa mnadhan kila mtu anatumwa hapa?.Halafu kuna watu wananilinganisha na Nape mm ni mm naitwa Twahil Majura siogopi mtu ka nyie mnaoficha majina yenu.Tujibu hoja sio mnazidiwa mnaongea pumba na hapo tutakua tunaijenga JF yetu.

Twahil Majura, nina swali moja tu kwako mkuu - Kwa nini kwa waliojiita wapiganaji ndani ya CCM, hakuna hata moja ameruhusiwa kutia mguu Igunga na badala yake kampeni ilizinduliwa na akina Mkapa na Rostamu ? Kama kweli wewe ni mkereketwa naomba tu jibu lililotulia bila jazba halafu ndio tuendelee na mjadala.
 
This is rubbish. Kama mnasema CCM wanaleta sukari, janjwid na sembe kwanini na nyie msilete vitu hivyo?. Jino kwa jino kama hamuwezi kaeni pembeni CCM ichukue jimbo lake.
 
This is rubbish. Kama mnasema CCM wanaleta sukari, janjwid na sembe kwanini na nyie msilete vitu hivyo?. Jino kwa jino kama hamuwezi kaeni pembeni CCM ichukue jimbo lake.

Kwa hiyo kwa sababu CCM ni mafisadi, Chadema nao wawe mafisadi, kwa sababu CCM inawalea wezi, Chadema nayo iwalee wezi, kwa sababu CCM inaua raia, Chadema nao waanze kuua raia. What kind of reasoning is this for God's sake - yaani kama unamjua mwizi mtaani dawa yake ni na wewe kuwa mwizi ! Please Kidatu you are better than that ! Chadema haiwezi kulinyamazia hili genge la majambazi, uovu kamwe hauwezi kuruhusiwa kudumu, lazima ushindwe kwa kupigwa vita - it's just a matter of time. Ni kitu gani kinawaharibu akili nyie watu ?
 
Back
Top Bottom