fukunyungu
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 717
- 194
Jinga wewe, nyie wote ni wezi, co cdmmmeanza kuleta visingizio sasa.chadema inatoa vitisho kuwa itapambana mpaka tone la mwisho, kwani tuko vitani?,tuko tayari kufia kwenye vituo vya kupigia kura,jamani hivi sinivitisho?.visingizio vya nini kama unauhakika wa kushinda?.nyie kila siku mnaibiwa na njia za wizi mnazifaham kwanini msizitumie kama mnazifaham sasa?.
mmeanza kuleta visingizio sasa.chadema inatoa vitisho kuwa itapambana mpaka tone la mwisho, kwani tuko vitani?,tuko tayari kufia kwenye vituo vya kupigia kura,jamani hivi sinivitisho?.visingizio vya nini kama unauhakika wa kushinda?.nyie kila siku mnaibiwa na njia za wizi mnazifaham kwanini msizitumie kama mnazifaham sasa?.
Hivi nyinyi kama mnatumwa mnadhan kila mtu anatumwa hapa?.Halafu kuna watu wananilinganisha na Nape mm ni mm naitwa Twahil Majura siogopi mtu ka nyie mnaoficha majina yenu.Tujibu hoja sio mnazidiwa mnaongea pumba na hapo tutakua tunaijenga JF yetu.
This is rubbish. Kama mnasema CCM wanaleta sukari, janjwid na sembe kwanini na nyie msilete vitu hivyo?. Jino kwa jino kama hamuwezi kaeni pembeni CCM ichukue jimbo lake.