Elections 2010 Dr.SLAA Hataukaribia ushindi

Wacheni hasira ,narudia tena Slaa hashindi uchaguzi na wala Chadema hawashindi ,tayari vyama rafiki vya Chadema vimemtaka ajiuzulu kutokana na kashfa iliyomkumba.

Nyie mnaomtetea Slaa kwa hili mnakasoro au kwa lugha ingine ni mataahira (samahanini kwa kutumia neno hilo) nikimaanisha ya kwamba hapa JF paliwahi kutolewa picha za Kikwete na hata blogu moja kufungwa ,sababu na mambu ni haya haya ya akina Slaa.Wacheni kumkumbatia Slaa kwani ameshapoteza sifa ya kuwa Raisi ,labda kama mmekusudia kuweka dictetor sawa.
That is the only issue you have to capitalize in; you have no any other issue than that. You have learned to hate; that is for some of us [meaning you MWIBA] is your congenital right, and it seems to fit your calibre. From your being proud of being a Zanzibari, to what curse Slaa has from your "GOD" aka "SATAN", and your proud of being a CUF sympathizer; you will learn one day; DUA ZA KUKU HAZIMPATI MWEWE.

What makes you see that darkness on Slaa, your ranting and rage is unproportional. He looks same like us/you, but his sin is what? His belief? Being a Chadema man? We learn to love our own and then we will love others; it seems you don't even love yourself because you're as ugly as what you're writing.

One thing is, Dr. Slaa has the support of the mass. Our priority is Economy, all what you're purporting is primary for us, overall we even don't know the otherside of the story. This is really JELEOUS!!

Last; even if Slaa will not win; but he has already done his job; he has shown the nation that he has balls!
 
Dr. Silaa afanye nini ili watanzania mjue kwamba tumejaliwa kupata mtu makini baada ya kulia kwa miaka mingi? Watu wanaompinga Dr. Silaa wanampinga kwa lipi baya alilofanya?

NITASHANGA WATANZANIA WAKIMKUBALI KIKWETE NA KUMKATAA DR. SILAA. NASEMA TENA NITAWASHANGAA SANA WATANZANIA - MASAUNI
 
Last; even if Slaa will not win; but he has already done his job; he has shown the nation that he has balls!

...and di***k to fu***k people's wives...lol!!
 
Wacheni hasira ,narudia tena Slaa hashindi uchaguzi na wala Chadema hawashindi, tayari vyama rafiki vya Chadema vimemtaka ajiuzulu kutokana na kashfa iliyomkumba.

Nyie mnaomtetea Slaa kwa hili mnakasoro au kwa lugha ingine ni mataahira (samahanini kwa kutumia neno hilo) nikimaanisha ya kwamba hapa JF paliwahi kutolewa picha za Kikwete na hata blogu moja kufungwa ,sababu na mambu ni haya haya ya akina Slaa.Wacheni kumkumbatia Slaa kwani ameshapoteza sifa ya kuwa Raisi ,labda kama mmekusudia kuweka dictetor sawa.

Maalim Mwiba,

Vyama rafiki vya CHADEMA ni vipi? Maana sijaona chama chochote ambacho kinashirikiana na CHADEMA kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
 
Junius,
You ought to be banned for a week for that lol!
Jasus,
Mwache aendelee, jazba yao inabidi waimailizie kwa CHADEMA na Dr. Slaa; maana washaolewa na CCM, kule Zanzibar wangojea "uke weza"; huku bara walifikiri angalau watakuwa wapili maana ndiyo wamezoea hivyo. Sasa kuona CHADEMA anapeta kumpiku bwana yao CCM mimacho inawatoka. CCM wenyewe wako kimya! Hii mijitu ya sasa inawakilisha CCM badala ya kuongeza nguvu kwenye chama lao.
 
Huyu mgombea wa Chadema mheshimiwa Dr W.Slaa hatoweza kuukaribia ushindi kabisa na hapo alipo ni kuanguka kwake kisiasa au kwa lugha ingine tunasema ndio mwisho wake.

Ukiangalia migongano ndani ya Chadema ambayo inawaka kama moto wa makumbi ameshindwa kuiweka sawa ,baada ya uchaguzi huu Chadema itakuwa na wakati mgumu sana ,inaweza kufa au kugawika na zaidi wanachama wake wakuu kwa kuwakusudia viongozi kuhama na kurejea CCM au kujiunga na vyama vingine kama tulivyoona.

Wananchi wengi wameanza kupoteza imani baada ya Dr.Slaa kupita akimnadi mke mpya au tuseme mchumba mpya baada ya kueleza sera amekuwa akizungumzia mambo ya maisha yake binafsi ya kindoa kubwa zaidi kuwa sasa inasemekana ameeiba mke wa mtu au anatembea na mke wa mtu ,yaani hata ile mke akiishi nae hakuwa mke wa ndoa ni kuishi maisha ya kuhurumiana ,jambo ambalo wananchi wengi wameliona kuwa halifai kuwa nalo mtu ambae anaomba Uraisi na kutaka kuwa kiongozi katika nchi yenye watu masikini.

Sasa Dr Slaa yumo katika mbio za kutaka kujisafisha badala ya mbio za kunadi sera ,amepoteza mvuto wa kisiasa na kuwa kivutio wa story za mapenzi na mipasho kwa wale wanaomuona amepoteza dira ,wengi ya wanaohudhuria mikutano huenda kusikiliza muendelezo wa story zake binafsi huku wakishangiria anapomsimamisha huyo mke mtarajiwa. Sielewi wapi tunaelekea.

Kwenye jamii watu kama wewe huwa hawakosekani!! Perssimistic, phew!
 
Maalim Mwiba,

Vyama rafiki vya CHADEMA ni vipi? Maana sijaona chama chochote ambacho kinashirikiana na CHADEMA kwenye uchaguzi wa mwaka huu.

sasa hivi upo Chadema na haujui vyama mlivyo na urafiki navyo ,nakusudia vyama vilivyopo ulimwengu wa kwanza wanao jua baya na zuri kwa kiongozi ,hili la kubaka wake za watu kwa hivyo vyama sio jambo jema.
 
Huyu mgombea wa Chadema mheshimiwa Dr W.Slaa hatoweza kuukaribia ushindi kabisa na hapo alipo ni kuanguka kwake kisiasa au kwa lugha ingine tunasema ndio mwisho wake.

Ukiangalia migongano ndani ya Chadema ambayo inawaka kama moto wa makumbi ameshindwa kuiweka sawa ,baada ya uchaguzi huu Chadema itakuwa na wakati mgumu sana ,inaweza kufa au kugawika na zaidi wanachama wake wakuu kwa kuwakusudia viongozi kuhama na kurejea CCM au kujiunga na vyama vingine kama tulivyoona.

Wananchi wengi wameanza kupoteza imani baada ya Dr.Slaa kupita akimnadi mke mpya au tuseme mchumba mpya baada ya kueleza sera amekuwa akizungumzia mambo ya maisha yake binafsi ya kindoa kubwa zaidi kuwa sasa inasemekana ameeiba mke wa mtu au anatembea na mke wa mtu ,yaani hata ile mke akiishi nae hakuwa mke wa ndoa ni kuishi maisha ya kuhurumiana ,jambo ambalo wananchi wengi wameliona kuwa halifai kuwa nalo mtu ambae anaomba Uraisi na kutaka kuwa kiongozi katika nchi yenye watu masikini.

Sasa Dr Slaa yumo katika mbio za kutaka kujisafisha badala ya mbio za kunadi sera ,amepoteza mvuto wa kisiasa na kuwa kivutio wa story za mapenzi na mipasho kwa wale wanaomuona amepoteza dira ,wengi ya wanaohudhuria mikutano huenda kusikiliza muendelezo wa story zake binafsi huku wakishangiria anapomsimamisha huyo mke mtarajiwa. Sielewi wapi tunaelekea.
Unatema fyongo tupu
 
Dr Slaa atatia pengo kubwa kwenye bunge lijalo, atakumbukwa kuwa alikua mtu machachari, mpiga vita ufisadi, lakini Chadema's move ya Slaa kugombea uraisi ilikuwa bado...mchango wake bungeni ulikua bado unaitajika. Huo ndio ukweli wa mambo
 
Wacheni hasira ,narudia tena Slaa hashindi uchaguzi na wala Chadema hawashindi ,tayari vyama rafiki vya Chadema vimemtaka ajiuzulu kutokana na kashfa iliyomkumba.

Nyie mnaomtetea Slaa kwa hili mnakasoro au kwa lugha ingine ni mataahira (samahanini kwa kutumia neno hilo) nikimaanisha ya kwamba hapa JF paliwahi kutolewa picha za Kikwete na hata blogu moja kufungwa ,sababu na mambu ni haya haya ya akina Slaa.Wacheni kumkumbatia Slaa kwani ameshapoteza sifa ya kuwa Raisi ,labda kama mmekusudia kuweka dictetor sawa.

Ndo maana nasema kupitia utawala mbovu wa ccm ......mtu kama mwiba anaendelea kui-enjoy huku ndani ya kichwa chake anajua kabisa madudu ya serikali ....... na ndo maana kimoyomoyo anatamani yatokee yaliyotoke nchini kwakwe Somalia........Tanzania ni nchi ya demokrasia na Dr. Slaa atachukua madaraka kwa njia ya amani na utulivu....hayo unayo-wish ni ndoto za mchanamchana......
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/60757-tanzania-ni-kubwa-=-ngumu-kutawalika.html
 
CCM imekula kwao Vimatumbo vyao kama havikushiba wajiandae kufa kwa Presha baada ya Uchaguz!
Tusiendelee kuwa Wadaganyika! Msimu wa CCM kuvuna umeshaisha,hata hivyo tulichelewa ingefaa waondoke toka mwaka 2005!.Hata hivyo bado hatujachalewa ila ni wakati mwafaka wa kuing'oa madarakani sisiemu!
 
Dr Slaa atatia pengo kubwa kwenye bunge lijalo, atakumbukwa kuwa alikua mtu machachari, mpiga vita ufisadi, lakini Chadema's move ya Slaa kugombea uraisi ilikuwa bado...mchango wake bungeni ulikua bado unaitajika. Huo ndio ukweli wa mambo
Mapambano,
It can be done if you play your part. Tupe kura yako.
 
Back
Top Bottom