Elections 2010 Dr. Slaa Jangwani katika Picha


Another Malaria Sugu! May be this is a new kind of disease. Nyie ndo watu mnaopona kwa kula mabaki ya ufisadi unaofanywa na CCM na kuwasahau watanzania mamilioni wanaoteseka kwa umaskini uliosababishwa na CCM. For how long has CCM been in power and we are still talking about poverty? Who brought that poverty in our country? CCM has been in control of the government for almost 50 years and we are among the poorest in the world. What has it been doing for all this time it was in power? Huoni tuu? Una macho ya namna gani hata usitambue kwamba CCM ndo chanzo cha umaskini wa nchi yetu? Yaani CCM mkishakuwa kwenye hayo mashangingi mnasahau kabisa ukweli kwamba kuna watanzania hawana hata mlo wa siku moja. Why cant you accept changes for the betterment of out nation and our people? I bet you are real sick. Probably this is the reason Tanzanians are portrayed as most silly men in East and central Africa. How dare can we defend such foolishness?
 
We KN hujuwi kama unakera watu...utafungiwa wewe...shauri yako!
 

usibishane naye angalia kwanza kajiunga lini jf? Wiki mbili au tatu zilizopita!
 

Wewe bwana kiingereza chako kibovu, usiendelee kutoa utumbo wako hapa usiokuwa na maana; wapelekee wasokile wenzio huko kwenu Mwankenja!!
 
Mkutano wa Dr.Slaa kutafuta wadhamini Zanzibar



 
Kanyafu Nkanwa,
Good riddance. You will not be missed.
 
We KN hujuwi kama unakera watu...utafungiwa wewe...shauri yako!

Acha bangi na wewe, afungiwe kwa kosa gani?

Watu wengine mmezoa kulia lia hadi mnaboa sasa. Rudini chekechea kwa vitoto venzenu mkalie lie huko.
 

Nikikusoma nabaki tu kuisikitikia nchi yetu kwa kuwa na wapiga kura wengi ambao ni Wadanganyika. Hata kuwe na ushahidi wa kiasi gani dhidi ya CCM lakini wao watajifanya hawaoni na kuendelea kuwapigia kura CCM miaka nenda miaka rudi na wakati huo huo nchi yetu inabaki nyuma kimaendeleo na Watanzania wengi kuendelea kuishi katika maisha yenye dhiki iliyokithiri katika nchi yenye utajiri mkubwa kama Tanzania huku mafisadi (wote tunawajua) wakiendelea kujilimbikizia utajiri wa kutisha. Si ajabu Wadanganyika wataendelea kudanganywa na chama cha mafisadi, chama nambari one kwa ufisadi kwamba wao ndiyo chama bora nchi pamoja na kuwepo ushahidi chungu nzima unaonyesha kwamba hilo si kweli. Angalia kwenye kura zao za maoni jinsi rushwa ilivyozagaa kila kona ya nchi na wagombea kulalamika kwamba mchezo mchafu wa kugawa rushwa ulifanywa na wagombea wote.

Ushahidi chungu nzima wa ufisadi uliofanywa na CCM wa EPA, kuuziana nyumba kwa bei ya kutupa, kuingia kwa Kikwete madarakani kwa kutumia rushwa 2005, ufisadi wa Mkapa kufanya biashara akiwa Ikulu, Ununuzi wa Rada, Ndege ya Rais, Helicopters na magari ya jeshi, mkataba wa Richmond, mikataba ya kuchimba madini yetu, kujiuzia Kiwira kwa Mkapa n.k. wote huu hamuoni mnaufumbia macho na kutaka kuonyesha kwamba CHADEMA ndiyo mafisadi!!! Ama kweli ukipenda chongo utaita kengeza! Sasa cha ajabu sijui hata hao CCM mnawapendea nini hasa kama ukitilia maanani wanaididimiza nchi yetu kimaendeleo mwaka nenda mwaka rudi

Wadanganyika labda watafunua macho na kuacha kuichagua CCM pale Mungu atapoamua kutoa sauti yake kutwambia matatizo yote ya Tanzania na Watanzania kwa kiasi kikubwa yanasababishwa na CCM chama kilichoshika utamu. Maombi na sala zangu ni kwamba kama Mungu ataamua kuongea na Wadanganyika kuwambia hili basi ni bora afanye hivyo mapema kabla ya uchaguzi wa mwaka huu ili CCM ipoteze utamu iliyoushika ambao hauna tija yoyote kwa Watanzania.

Mungu inusuru nchi yetu na watu wake.

 

Nakwambia wamemwaga hapa kwa fujo ili kueneza sumu yao inayoididimiza Tanzania kimaendeleo. Mtu haoni haya wala kusikia vibaya pale anapopindisha ukweli kwamba CHADEMA ndiyo mafisadi na siyo CCM! Halafu mtu kama huyu anaweza kutamba mbele ya kadamnasi kwamba ana mapenzi ya kweli kwa nchi yetu! Kazi kweli kweli! bado tunasafari ndefu sana ya kuikomboa Tanzania yetu toka mikononi mwa chama fisadi.

Hivi katika zile ahadi za Kikwete katika kampeni yake ya 2005 ya Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana, ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya na nitaipitia tena mikataba ya uchimbaji wa madini yetu ambayo imelalamikiwa na Watanzania wengi kwamba haina maslahi kwa Watanzania ili kuhakikisha Watanzania tunafaidika na rasilimali zetu, kishatimiza ahadi ngapi tangu aingie madarakani? Kweli ni chaguo la Mafisadi Oops! la Mungu!
 

BAK, kama hamfanyi kazi na mnalialia tu, mtaendelea kulia la sana nchii hii. Hakuna mtu atakuja kuwajaza pesa mfukoni muachane na ufukara.

Wenye akili wanazitumia kufanya maendeleo makubwa sana nchii. Kila kitu iko open kwa mtu yoyote. Sasa nyie kaeni mkisubiri ahadi ya maisha bora. Labda mlidhani kuwa hiyo ilikuwa na maana kwamba mtagawana hela za madini na utalii wa nchi hii?!. Haikuwa na maana hiyo. Piga kazi sana uweze kupata utakacho na wakati huo huo unaisadia nchi. Na huko mliko, kumbukeni kuwa kazi ndiyo maendeleo. Siyo kuota kuwa Slaa atakuja kuwadhibiti mafisadi achukue hela zao awapeni. Kamwe.

Wenzenu wako frustrated vibaya sana huko Kenya, Zambia, Malawi na kwingine. Waambie na wenzako.
 
Kanyafu, ni mmoja wa watu ambao kizazi kijacho kinafumua kaburi lake na kuangalia/kupima ubongo wake kama kweli wakati wa uhai wake alikuwa na akili. kwa sababu, its really sad to have him in this forums. watu tunapigania mabadiliko lakini yeye anashabikia utumbo kila kukicha.

Anyway, the people's power never fail.
 
Wewe bwana kiingereza chako kibovu, usiendelee kutoa utumbo wako hapa usiokuwa na maana; wapelekee wasokile wenzio huko kwenu Mwankenja!!

mimi ni Mtanzania halisi bwana. Kiingereza wanajua Waingereza. Sasa sijui wewe ni mwingireza?!
 
Dr Slaa naona katinga kibaraghashia alipokuwa Zanzibar................ndo when in Rome....?!


btw ...hizo flana nyekundu zilizovaliwa mkutanoni zinasema nini? (nimeona Red .......)
 

Kazi si wanafanya mafisadi ndiyo wanaojazwa mapesa? au umesahau?

Rostam miaka michache iliyopita hakuwa bilionea sasa baada ya kufanya vizuri kazi zake ni bilionea wa kutupa. Mkapa, Mkono, Karamagi, Manji, Subhash, Mzindakaya, wale wa EPA na wengineo wote hawa miaka michache iliyopita hawakuwa mabilionea lakini sasa kutokana na kazi zao nzuri sana ndani ya chama twawala wamekuwa mabilionea katika muda mfupi sana na wavuja jasho wa Watanzania, wakulima na wafanyakazi wanalipwa kiduchu mazao yao bei wanalaliwa haya ukilinganisha na nchi jirani wanashindwa kujikwamua kuachana na umaskini eti kwa sababu wanaambiwa nchi ni maskini lakini wakati huo huo Viongozi wanaishi kwa kutanua tena kwa sana tu kuliko hata katika nchi tajiri duniani.

CCM si baba yako wala mama yako hata Mwalimu aliwahi kusema hivyo kwa kuona inaelekea kule ambako yeye hakuona kama ni kwa maslahi ya nchi bali kwa mafisadi wachache ndani ya CCM.

Amka uyaone maovu ya CCM ndani ya Tanzania ambayo yanadidimiza maendeleo ya nchi badala ya kuendelea kuwapigia debe mafisadi.
 
Du!
Hichi Kizungu chako sasa!!
Sisi wa-TZ wababaishaji hata kwenye lugha za watu??
 

Alafu we mtu, nchi huwa haiendeshwi kihuni namna hiyo. Kwamba nikitaja leo kuwa Keil ni kibaka basi unatakiwa utiwe ndani! Nina wasi wasi kama ndiyo mnafikiria huyo jamaa yenu atakuwa hivyo basi mmepotea. Nchi ni system ambayo inafanya kazi kwa ndani na kwa kushirikiana na kimataifa. Mtu haweze kimbilia Uswizi ukaaanza sema yuko wapi mbona hammkamati? Unataka kuleta mambo ya Kagame na generali wake aliyeko South Africa? Sasa hivi itamtokea puani. Kwa kifupi bwana Keil, nchi inaendeshwa kwa mpangilia wa kisheria. Siyo kukurupuka tu asubuhi ,,,, oohhh, hii ni list ya mafisadi wakamateni! Utakuwa uhuni huo. Na kama mtu wenu anawaambia hivyo hapo ndiyo anazidi kuongezea alama za kutokuwa anafaa hata Ubunge!
 

Ndio nimetoka Karatu juzi, haya maneno, ungeyazungumza kule, wangekutia ngeu walahi. hakuna haja ya kuwadanganya watu wakati hujui kinachoendelea kule karatu. Eti Karatu hana lolote jipya!? una hatari wewe!! nakuomba kama huna maneno ya busara katika kufikisha ujumbe wako ni vyema ukakaa kimya.
 
Du!
Hichi Kizungu chako sasa!!
Sisi wa-TZ wababaishaji hata kwenye lugha za watu??

No, tunaongelea Slaa. Kizungu kama huelewi kaa kando nacho. Kimo mwake hicho, mpaka uwe mwelewaji mzuri na shule uwe umepandisha hasa
 

kutoka Karatu au kukaa Karatu siyo kuijua karatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…