Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,199
Wewe Keil, hujui unaongeaje na unaongea katika hanga hizi. Ni hiari yako, anyway. Lakini jamaa yenu Slaa kwisha bin mufulisi. Karatu hana lolot jipya kaleta. Yaaani hana mpya yoyote. Ataaibika sana na kupoteza umaarufu wake wa bungeni hivi hivi. Chukua maneno yangu. Si kweli kwamba CCM ni mafisadi, ila kuna watu mafisadi ambao wanashughulikiwa squarely right now. Wanachama wa Chadema ni mafisadi zaidi. Yeye mwenyewe Slaa, Mbowe na wenzake wakina Komu just to mention a few. Nitawapa mafile yao soon. Subirini tuanze kampeni. Niwafungue macho yenu muone nyuchi (uchi) zao.
Another Malaria Sugu! May be this is a new kind of disease. Nyie ndo watu mnaopona kwa kula mabaki ya ufisadi unaofanywa na CCM na kuwasahau watanzania mamilioni wanaoteseka kwa umaskini uliosababishwa na CCM. For how long has CCM been in power and we are still talking about poverty? Who brought that poverty in our country? CCM has been in control of the government for almost 50 years and we are among the poorest in the world. What has it been doing for all this time it was in power? Huoni tuu? Una macho ya namna gani hata usitambue kwamba CCM ndo chanzo cha umaskini wa nchi yetu? Yaani CCM mkishakuwa kwenye hayo mashangingi mnasahau kabisa ukweli kwamba kuna watanzania hawana hata mlo wa siku moja. Why cant you accept changes for the betterment of out nation and our people? I bet you are real sick. Probably this is the reason Tanzanians are portrayed as most silly men in East and central Africa. How dare can we defend such foolishness?